Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ghala la silaha za warusi karibu na Bakhmut lalipuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Ila video ilichukuliwa 22/12/2022.Ghala la silaha za warusi karibu na Bakhmut lalipuliwa
View attachment 2536414
Inaweza kuwa Video ni ya muda kutokana na kukosea kuchagua video wakati wa kuupload, lakini tukio ni lenyewe jana. Pia camera kama hujaset saa na tarehe inaprint wrong information.1. Ila video ilichukuliwa 22/12/2022.
2. Mazingira ya picha siyo ya Bakhmut nayoifahamu. Labda wataalam wa Geolocation watusidie.
Free ndio niniAnayejua namna ya kupata GB za bure kwa Tigo,airtel na vodacom au VPN za Tigo na airtel aje inbox anifundishe free. Msaada nimechoka kununua bando.uje inbox
Mbn kama wamekata anataka amvue surualiWavamizi watano kutoka Urusi, wamedakwa huko Luhansk
View attachment 2534069
Hawa jamaa mbona sura ni za masikitiko na wamechoka sana?Kuna habari sijathibitisha ila inadaiwa kuna Wanajeshi wa Urusi 9,836, wameomba wapelekwe Magereza ya Ukraine kuliko kupigana vita
View attachment 2536448
Real!!!Inaweza kuwa Video ni ya muda kutokana na kukosea kuchagua video wakati wa kuupload, lakini tukio ni lenyewe jana. Pia camera kama hujaset saa na tarehe inaprint wrong information.
Oh! Sasa Mrusi hapati tena hata nafasi ya kwenda uani. Kila kilicho cha umuhimu kinateketezwa. Slava Ukraine.Drones zomeshambulia Bohari za mafuta huko Tuapse nchini Urusi
View attachment 2536959
Duh! Ukraine,Ukraine ni moto wa kuotea mbali. Naona full mzuka. Mrusi atajuta.