Hatari sana.Vikosi vya Ukriane huko Bakhmut vipo imara. Ukriane mlingoti chuma bemdera chuma. Huwezi amani Mrusi kashindwa kupenda. Kila wakijaribu wanakufa kama sisimizi. Hii wiki ikiisha Warusi hawajaikamata Bakhmut, Wasahahu kuikamata tena. Sababu Warusi/Wagners wanakufa zaidi ya 1800 kwa siku. Wataisha
View attachment 2558863
Slava Ukraine [emoji1255]Vikosi vya Ukriane huko Bakhmut vipo imara. Ukriane mlingoti chuma bemdera chuma. Huwezi amani Mrusi kashindwa kupenda. Kila wakijaribu wanakufa kama sisimizi. Hii wiki ikiisha Warusi hawajaikamata Bakhmut, Wasahahu kuikamata tena. Sababu Warusi/Wagners wanakufa zaidi ya 1800 kwa siku. Wataisha
View attachment 2558863
Slava Ukraine [emoji1255]Hatimaye Moscow wamenja joto la kukosa umeme. Ukraine imejipanga nje ndani
View attachment 2559179View attachment 2559180View attachment 2559181
Jipige kifuani sema "Mimi ni mjinga na Shoga"Poland wamesema wataingilia kati mgogoro wa Ukraine na Urusi kama Ukraine itashindwa kujilind. Poland itasaidia kuilinda Ukraine. Kasema Balozi wa Poland Nchini Ufaransa Jan Emeric Rosciszewski
View attachment 2559394
Safi hicho ndicho nasubir 😍😍😍Poland wamesema wataingilia kati mgogoro wa Ukraine na Urusi kama Ukraine itashindwa kujilind. Poland itasaidia kuilinda Ukraine. Kasema Balozi wa Poland Nchini Ufaransa Jan Emeric Rosciszewski
View attachment 2559394