Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Very true
 
Prigozhin analialia, anaiomba Wizara ya Ulinzi ya Urusi isaidie maana Ukraine wanakusanya nguvu kupiga counter offensive ya Nguvu sana Bakhmut.
Hiyo sasa ni dalili na Ishara ya wazi kwamba Kazi imemshinda Prigozhin.
Eti anamwomba Boss (Mrusi i.e.Mwajiri) wake sasa aje amsaidie. Dah! Ningekuwa mm ndo boss wake ningemwambia arudishe chap pesa aliyolipwa kwa kazi hiyo na ndo mwisho wa Mkataba. Namfukuza kazi fasta 😳 .
 
Lakini ndo ukweli. Wanaombeba Russia kwenye vita ya Ukraine Frontline ni Wagner. Russia kazi yake kubwa ni kutoa Silaha wanazotaka frontline. Jamaa linawaambia ukweli kuwa kushindwa kwa Wagner ni kushindwa kwa Russia.

Ujumbe wake jamaa uko very clear kwamba Ukraine inajiandaa kwa counter offensive, Russia nao wajiandae. Kuteketezwa kwa Wagner ndo kushindwa kwa Russia.

Prigozhin ni mjanja sana. Anawatanguliza kwanza wanajeshi wa Russia wao wanakaa line ya nyuma. Wanasagwa kweli kweli. Wazoefu wanaendelea kupiga mzigo.
 
Mwisho wa yote, warusi watakapokwisha watabaki Wagner. Sasa je, Wagner ndio watakuwa jeshi rasmi la Urusi? Naona kama Urusi itasambaratika kwani sijawahi kusikia nchi ambayo usalama wa nchi hiyo uko mikononi mwa Mamluki.
 
Mwisho wa yote, warusi watakapokwisha watabaki Wagner. Sasa je, Wagner ndio watakuwa jeshi rasmi la Urusi? Naona kama Urusi itasambaratika kwani sijawahi kusikia nchi ambayo usalama wa nchi hiyo uko mikononi mwa Mamluki.
Siku Wagner wakiamua kuasi Putin atapata tabu sana. Sema tu uzuri wake ni kwamba ni kikosi ambacho anakiamini hata kwa ulinzi wake binafsi. Siku Mtawala wa Russia akibadirika ana uwezo wa kukipiga marufuku hicho kikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…