Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo Urusi amepoteza sana..
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wamejiokotea Vifaru aina ya BMP-3 infantry fighting vehicle.
Your browser is not able to display this video.
 
Asilimia 85 ya vifaa vya jeshi vya Urusi vilivtoletwa Belarus, vimerudishwa Urusi. Wameona muziki wa Ukraine wakajia watapoteza sana. Na kweli visingevuka Mpaka ndani ya km 10.ilikuwepo mitego na ambush za kila aina.
 
Hii inaweza kuwa mbinu ya kijeshi nasmini hivo na kutatokea shambulizi la kushtukiza kutoka msaada wa USA Warus hawataamini macho yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azov jana Usiku walikinukisha..
Your browser is not able to display this video.
 
Mzigo ushatua Ukraine. Utafikaje Mariupol?
View attachment 2194321
Sasa hapa ndo mbinu za kivita Huwa zinatumikaga .Hutaamini kitakachotokea lakini amini mzigo utawafikia Azov muda wowote .Kuna watu Wana elimu za kivita kufanya kazi kwenye mazingira ambayo akili ya kawaida ni ngumu kuamini.Special force's kutoka Israel na USA ndo wanampeleka huo mzogo kwa kujam mawasiano ya Warus kwanza,mkuu kesho ni siku ya furaha Sana kwa sisi wapenda haki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaojua kimombo. Hii ni Orodha ya ndege ambazo Urusi wamepoteza tangu Wavamie Ukraine. Hii Orodha inaanzua March 20, 2022

Urusi imepoteza ndege 96.

Zilizoteketea kwa kuungua moto na kuisha ni 79, Zilozoharibika kidogo(zinazotengenezeka) ni 3, ndege 1 tu ilitelekezwa na ndege 14 zilitekwa zilipotua Viwanja vya ndege vya Ukraine.

Combat Aircraft (21 ambapo 20 ziliteketea na 1 iliharibika tu)

9 Su-25 close air support aircraft: (1,iliteketea) (2, zinatengenezeka)

Na nyingine ni kama ifuatavtyo (3, destroyed) (4, destroyed) (5, destroyed) (6, destroyed) (7, destroyed) (8, destroyed) (9, damaged)

5 Su-30SM multirole aircraft: (1, destroyed on the ground) (2, destroyed) (3, destroyed) (4, destroyed) (5, destroyed)

1 Su-35S multirole aircraft: (1, destroyed)

6 Su-34 strike aircraft: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed) (4, destroyed) (5, destroyed) (6, destroyed)

Transport Aircraft (1, of which destroyed: 1)
1 An-26 transport aircraft: (1, destroyed)

Helicopters (35, of which destroyed: 31, damaged: 2, abandoned: 1, captured: 1)
10 Mi-8 transport helicopter: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed) (4, destroyed) (5 and 6, destroyed by Bayraktar TB2 and artillery) (7, abandoned and destroyed) (8, destroyed) (9, destroyed) (10, destroyed)
2 Mi-24V/P attack helicopter: (1, destroyed) (2, destroyed)

3 Mi-35M attack helicopter: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed)
2 Unknown Mi-24/35 attack helicopter: (1, destroyed) (2, damaged)

2 Mi-28 attack helicopter: (1, destroyed) (2, destroyed)
11 Ka-52 'Alligator' attack helicopter: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed) (4 and 5, destroyed by Bayraktar TB2 and artillery) (6, destroyed) (7, destroyed) (8, destroyed) (9, damaged) (10, damaged, abandoned and later destroyed) (11, damaged and captured)

5 Unknown helicopter: (1, 2, 3, 4, and 5, destroyed by Bayraktar TB2 and artillery)

Unmanned Aerial Vehicles (39, of which destroyed: 26, captured: 13
1 Forpost reconnaissance UAV: (1, destroyed)

1 Orion UCAV: (1, destroyed)
22 Orlan-10 reconnaissance UAV: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed) (4, destroyed) (5, destroyed) (6, destroyed) (7, destroyed) (8, destroyed) (9, destroyed) (10, destroyed) (11, destroyed) (12, destroyed) (13, destroyed) (14, destroyed) (15, destroyed) (16, destroyed) (17, captured) (18, captured) (19, captured) (20, captured) (21, captured) (22, captured)
1 Orlan-30 reconnaissance UAV: (1, destroyed)

5 Eleron-3 reconnaissance UAV: (1, captured) (2, captured) (3, captured) (4, captured) (5, captured)
1 Takhion reconnaissance UAV: (1, captured)

6 ZALA Aero KUB-BLA loitering munition: (1, destroyed) (2, destroyed) (3, destroyed) (4, destroyed) (5, destroyed) (6, destroyed)

1 E95M target drone (likely used as unmanned bait in order for Ukraine to reveal the location of air defence systems): (1, captured)

1 TsNTU Dinamika target drone (likely used as unmanned bait in order for Ukraine to reveal the location of air defence systems): (1, destroyed)
 
Urusi walipoteka Kharkiv waliteka Store zetu. Ila leo vyote vyote vimerudi ma zaidi tank engines (60 ), spea A gari na R-73 & R-27R A2A missiles (26) Tulipowakiripusha wameviacha vyote
 
Maana yake hatasafiri nje ya Urusi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…