Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu hii nakubaliana na wewe.
Russia kuna kipindi nilijua ataichukua bakhmut lakini kwa hali ya sasahvi naona hata hiyo bakhmut hana muda hapo watamfurusha mbali.
 
Watoto wakiangalia hii clip wataona kama ni move fulani hivi na pengine wanaweza kusema "Mtakoma leo" 😀 😀 🏃‍♂️
1. Hizi Clips pro Russia zinawakera sana hadi wanajaa upepo. Ndiyo maana wanakuja kutukana bila hata sababu.

2. Wengi wao ni vilaza. Wanajazwa ujinga wanaamini.

3. Hawajui hata vita ikoje au uwanja wa vita (battle field) zaidi ya simulizi. Hata ukimpa bunduki hajui hata kukoki na pengine hata kuigusa tu bunduki hawajawahi Lakini eti naye anaongelea battle field ilivyo.
 
4. Kitendo cha kuelekeza hasira zake kwenye nyumba za makazi ya watu na kubomoa miundo mbinu ya umeme na maji badala ya kambi za jeshi na frontline ya Ukraine ni ushahidi mwingine kuwa Russia frontline battle hawezi. Ni ushahidi mwingine kuwa Russia hana uwezo mkubwa wa kijeshi tofauti na ambavyo tuliaminishwa kuwa ni super power.
Naongezea:
5. Kitendo cha Urusi kukimbia-kimbia huku na kule akihaha kutafuta misaada na support kutoka kwa nchi ndogo-ndogo (including African countries) wa wapiganaji ikiwemo kukodi mamluki badala ya kutumia raslimali-watu wake mwenyewe ni ishara ya wazi kwamba Urusi yuko hoi bin taaban na ameishiwa kabisa uwezo na hivyo kumbe tulidanganywa na kuaminishwa eti yeye ni supa pawa kumbe ni ziii hamna lolote.
 
1. Russia siyo kwamba hana wanajeshi wa kutosha. Ni kwamba hawana mafunzo mazuri ya kivita na pia wanatumia silaha duni za ki soviet. Ndiyo maana wanakufa sana wakifika frontline

2. Russia hataki wanajeshi wake wazoefu wapukutike ndiyo maana ana outsource. Ndiyo maana unaona wagner ndo ana drive frontline. Ndiyo maana anachukua/anatafuta wapiganaji wenye njaa ya pesa kutoka ndani na nje (Mercenaries). Hata wakifa haileti madhara.

3. Safari hii kaua wanajeshi wake wengi hakutarajia. Aliidharau sana Ukraine.

4. Russia anapenda kupigania vita nje ya nchi yake ili asipate madhara ya miundo mbinu na wananchi wake. Ndiyo maana anatumia millitary proxy kama Belarus, Ukraine (Donbas) etc. Safari hii kabugi men.

5. Putin anajua akitolewa Ukraine mchakato wa Ukraine kuwa NATO member utakimbizwa mchaka mchaka ili Ukraine iwe millitary base ya NATO. Hapo wanaume watakula sahani moja naye direct akileta fyoko.
 
Mamia ya Makaburi mapya ya Wagners. Warusi wa kwa Mpalange wanawaita Mashujaa. Hawa wamefia Bakhmut. Hawa ni tofauti na wale wanaoachwa msituni.
View attachment 2567057
Unafiki na Uzandiki mtupu. Eti Warusi wanapamba kwa maua makaburi ya mijitu katili Wagner iliyokuja Ukraine lengo likiwa ni kuua Raia kwa malipo kutoka kwa mshenzi Putin. Ni akheri zaidi mizoga ya wagners walioachwa au kutelekezwa maporini huko wajiozee na kuongeza walau mbolea katika ardhi ya Ukraine iwe ni faida. 😳 👆👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…