Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kila siku mnakumbushwa kwamba huu uzi ni maalum kwa ajili ya maendeleo ya Ukraine Vitani. Nyie watu wa Russia anzisheni uzi wenu wa kuonesha Makamanda wa Ukraine wanauawa Vitani.
Unamkumbusha nani uzi uko public alafu nimemjibu huyo aliehusisha na kuwataja mashabiki wa Urusi

Au hukuona alicho andika na nilicho kijibu kwa njia ya swali?
 
Kila siku mnakumbushwa kwamba huu uzi ni maalum kwa ajili ya maendeleo ya Ukraine Vitani. Nyie watu wa Russia anzisheni uzi wenu wa kuonesha Makamanda wa Ukraine wanauawa Vitani.
Hawa watu ama ni vichwa ngumu au ni ukweli kwamba hawana uwezo wa kuanzisha uzi wao. Mtu mzima haambiwi kitu kile-kile kila siku na hasikii amekaza shingo.
 
Unamkumbusha nani uzi uko public alafu nimemjibu huyo aliehusisha na kuwataja mashabiki wa Urusi

Au hukuona alicho andika na nilicho kijibu kwa njia ya swali?
Kama unajua uko Public unakereka nini watu kuweka mambo ya Ukraine tu. Maana ya Public na wewe si uweke za kwako ingawa utapishana na lengo la uzi. Kule kwenye uzi wa kinachojiri Ukraine kuna mtu analalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…