kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Slovakia imekabidhi Ndege 4 aina ya MIG-29 fighters kwa Ukraine
View attachment 2565970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Slovakia imekabidhi Ndege 4 aina ya MIG-29 fighters kwa Ukraine
View attachment 2565970
Slava Ukraine [emoji1255]Wanajeshi wa Ukraine wana uthubutu. Wanakufyatua huku unawaona. Hawaogpi silaha yako
View attachment 2566358
Slava Ukraine [emoji1255]Tunawabembeleza Urusi warudi kwako wakati bado wapo hi wao wanaleta Jeuri. Hii Vita Urusi hawawezi tena. Tumeshajipanga na Wanajeshi kibao kesho wanafuzu kutumia Silaha za Kisasa. Silaha chache, watu wachache, risasi na makombora mengi na Maafa mengi. Lazima Urusi wakaw.
View attachment 2566579
Slava Ukraine [emoji1255]Wanajeshi wa Ukraine leo wamehitimu mafunzo ya kutumia
AS-90 155mm Howitzers zilizotolewa na Britain. Hii inamanisha wiki ijayo wapo Mzigoni. Wanakuja na Mzigo wao walokuwa wanafanyia mazoezi
View attachment 2566588
Slava Ukraine [emoji1255]Wahitimu wengine hawa hapa. Hawa ni wakufunzi wanaenda kufundisha wenzao. Wapo 334
View attachment 2566615
Slava Ukraine [emoji1255]Wanajeshi wengine wa Ukriane wapo huku Ujerumani wanajifunza kutumi Bradley, M113 na HMMWV
View attachment 2566623
Slava Ukraine [emoji1255]Marekani imepeleka Patriot missile systems na Abrams MBT mapema zaidi kuliko ilivyo tegemewa. Hata hivyo wiki ijayo Mashujaa wanaweza wakahitimu mafunzo
View attachment 2566661View attachment 2566662
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Mrusi usiogope, haya ni mazoezi yanaendelea Ujerumani
View attachment 2567052
Slava Ukraine [emoji1255]Ogopa sana kikosi cha 67th OMBr. Ni noma
View attachment 2567054
Slava Ukraine [emoji1255]Mamia ya Makaburi mapya ya Wagners. Warusi wa kwa Mpalange wanawaita Mashujaa. Hawa wamefia Bakhmut. Hawa ni tofauti na wale wanaoachwa msituni.
View attachment 2567057
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi hawataki kusema nini kimewakuta Maryinka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hadi raha. Warusi 50 kufa kwa dakika 10[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Slava Ukraine [emoji1255]Taiwan imeipa Ukriane drones zaidi ya 1,000. Urusi nawahurunia
View attachment 2567518
Slava Ukraine [emoji1255]Hii nawapa breaking news Urusi wa kwa Mpalange wanaopitia threas hii. Yule kamanda wenu Dmitry Lissitzky, amekwenda na maji. Mtajuta sana kuivamia Ukraine
View attachment 2567525