OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ataomba sana. Iko siku hao wanaoombwa watamchoka na watamwuliza: "Hivi wewe ulipoanzisha hiyo vita ulitegemea kushinda vita kwa kupewa misaada? Komaa na hali yako lol".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataomba sana. Iko siku hao wanaoombwa watamchoka na watamwuliza: "Hivi wewe ulipoanzisha hiyo vita ulitegemea kushinda vita kwa kupewa misaada? Komaa na hali yako lol".
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa Wanajeshi wa Urusi walikuwa 30 huku Ukraine wakiwa 8 tu. Kumbuka hawa ni wanajeshi kutoka K-2 Battalion ya Ukraine. Pambano la T-pattern. PART ONE
View attachment 2567725
Slava Ukraine [emoji1255]Mkuu wa Majeshi wa Ukraine aValerii Fedorovych Zaluzhnyi amemtunuku tuzo ya heshima kutoka kikosi cha 92nd Independent Mechanized Brigade aitwaye Sirk Ruslan Zubarev kwa ushujaa alionesha kuwaua Warusi waliovamia handaki lao. Aliwapelekea moto hadi Warusi wakakimbia
View attachment 2567750
Kuna mtu atasema haiwezekani. Wagner ni moto wa kuotea mbali.Wagner walikuja Bakhmut wakiwa 45,000 sasa wamebaki 7,000🤣🤣🤣
View attachment 2567858
Vodka haijawahi kumwacha mtu salama.Urusi wanatuua na kutuibia kizazi chetu. Hivi wanaume wa Urusi hawana nguvu za kiume za kuzalisha
View attachment 2567822
Ni mwanaume wa shoka. Anajua kutumia multiple weapons. Big upMkuu wa Majeshi wa Ukraine aValerii Fedorovych Zaluzhnyi amemtunuku tuzo ya heshima kutoka kikosi cha 92nd Independent Mechanized Brigade aitwaye Sirk Ruslan Zubarev kwa ushujaa alionesha kuwaua Warusi waliovamia handaki lao. Aliwapelekea moto hadi Warusi wakakimbia
View attachment 2567750
Slava Ukraine [emoji1255]Maandalizi ya Urusi karobu na daraja la Crimea. Utafikiri kwao[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2568085View attachment 2568086View attachment 2568087
Warusi Bado hawasikii. Nimeona hiyo picha 094258_ 480 jpg Dah! Ugonjwa wao ni Acute Chronic Stupidity Syndrome (ACSS).
Mkubwa akipigana na mdogo, na mdogo hata akiweza kufikisha saa nzima bado anapigana na mkubwa, basi mdogo anakuwa anashinda!!Mpaka sasa nani anashinda huko
Ova
Falsafa nzuri za Wahenga. Umemjibu sawia.Mkubwa akipigana na mdogo, na mdogo hata akiweza kufikisha saa nzima bado anapigana na mkubwa, basi mdogo anakuwa anashinda!!
Hicho Kitafaa sana kumfunza adabu Mrusi.(samahani lakini kama ww ni proRusia). Spidi ya km 72/hr ina maana kitachukua takriban masaa 7 - 8 kikitoka dar kufika hapo Moshi mjini kwa Mangi na kutoa salams. Lakini kikiwa dar manake eneo lote hilo Dar - Mwanga liko kwenye 18 zake.Ujerumani imeshapeleka mzigo Ukraine na umepokelewa Jumatatu hiii. Ndiyo kifaru bora kwa sasa duniani.
Kilomita 500 ni kama Dar mpaka Karibu na Mwanga mkoani Kilimanjaro.
![]()
Chanzo Aljazeera!!
Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.Ujerumani imeshapeleka mzigo Ukraine na umepokelewa Jumatatu hiii. Ndiyo kifaru bora kwa sasa duniani.
Kilomita 500 ni kama Dar mpaka Karibu na Mwanga mkoani Kilimanjaro.
![]()
Chanzo Aljazeera!!
Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.
From USA, Germany, UK hawa ndio wana best tanks and vehicle in the world na wamefungua roho na kutoa mzigo.
It's show time...litakufa jitu.
Source; official Defence of Ukraine Twitter page [emoji16]View attachment 2568584
Ndiyo maana yake. Wakati kinatembea mwendo pungufu wa Mabasi ya Tanzania kwa kilomita tano, chenyewe kitakuwa kinapiga kilomita 500 mbele. Kuna watu wanatishia kutumia Nyukilia!! 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hicho Kitafaa sana kumfunza adabu Mrusi.(samahani lakini kama ww ni proRusia). Spidi ya km 72/hr ina maana kitachukua takriban masaa 7 - 8 kikitoka dar kufika hapo Moshi mjini kwa Mangi na kutoa salams. Lakini kikiwa dar manake eneo lote hilo Dar - Mwanga liko kwenye 18 zake.
Kwa kutumia kitu gani?? Hujaona imeandikwa "7.62mm Anti-Aircraft Machine Gani"?? Yaani kinarusha kombora kilomita 500 na wewe ukirusha ndege kukishambulia kinaidungua pia.Hivi vifaru vya ujerumani haviwezi kweli kupondwa na warusi,
au venyewe ni ngangari?
Itoshe kukwambia Battle tank ya mjeremani hiyo Leopard 2 ndio the best Battle tank in the world.Hivi vifaru vya ujerumani haviwezi kweli kupondwa na warusi,
au venyewe ni ngangari?