Usihangaike na wajinga/wapumbavu
1. Hajui ung'eng'e hata hajaelewa kilichoelezwa kwenye sifa za series za Leopard 2. Kwa lugha rahisi unabishana na kilaza. Unapoteza muda wako tu.
2. Pro Russia wanawashwa washwa ndo maana wanakuja kwenye uzi kwa ligi. Daima mtu mjinga/mpumbavu huwa ni mbishi. Mtu mwelevu ni msikivu na hutumia muda mwingi kujifunza mambo kwa wengine.
3. Majority ya pro Russia ni vilaza na wajinga/wapumbavu, pia they are not informed about this war. Wanajazwa propaganda za kijinga wanazibeba.
4. Ukitaka kujua kuwa pro Russia ni wajinga/wapumbavu waambie wakupe ushahidi hawana. Ndiyo maana wamejaa matusi midomoni mwao na hiyo ndo huruka ya mtu mpumbavu. Huwa hawana hoja. Ndiyo maana kutwa nzima wanaimba ushoga ushoga. Sababu wameaminishwa eti Russia kaanzisha vita kupinga ushoga. It is to why I always say they are mentally retarded.
Hitimisho
1. Dawa ya mtu mjinga/mpumbavu ni kutobishana naye. Akianza kuwashwawashwa mnamchunia au ku mute. Watakuwa wanachungulia na kutoka maana uzi huu wanaupenda sana sababu ni uzi wa facts and evidence based. Siyo propaganda.
2. Kujibishana na pro Russia wajinga/wapumbavu ndani ya uzi huu ni kupoteza muda wako. Ukitaka kubishana nao nenda kwenye uzi wao uliojaa matusi. Hawana hoja ya kushawishi mtu bali wanalazimisha kumshawishi mtu kwa mambo ya propanda.