professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Russia ni masikini kwenye vinywa vya west na wale tulio lishwa propaganda lakin si kweli unajua Russia kaekewa vikwazo vingapi kwenye hii operation yake na bado west ndio wanalalamika kila kukicha hili hulioni na bado uchumi wa Urusi unaendelea kukuaIli uwe na silaha kali za level ya Dunia lazma uwe na uchumi imara, sophisticated technology and good policy toward military investment.
Russia hana uchumi imara kama USA hana sophisticated and advanced technology kama USA policy yale haijajikita kwenyebkuweka pesa kwenye jeshi kama USA kwa maana ya military budget ya USA ni above all over the world.
Ukiniambia Russia anaweza kuwa na silaha ambazo Dunia haina nakataa. Nchi ambayo hata kifaru cha Leopard 2 cha Germany hana na hana hata hiyo technology ya kufanana na mzigo wa Germany pekee achilia mbali super power kama USA.
Russia ni nchi mediocre ya kikomunist kama Cuba na Venezuela hawana maajabu.
Na kama Ukraine pekee imekula nusu ya jeshi lake proffesional what if angeface hata Mswizi tu mwenye Bank ya Dunia.... angeita maji mma. [emoji1787]
Vipi kuhusu mji wa mariupol alio ujenga baada ya kuuchukua
Acha mzaha ndugu