Kuna miji ya Ukraine naipenda sana. Mji wa kwanza napenda ni Odessa na wa Pili ni Mariupol nyumbani kwa Azov Battalion.
Mariupol ishaanguka mikononi mwa Wavamizi lakini hadi leo Urusi wameshindwa kupenya Odessa yenye beach safi kabisa duniani na Bandari bora inayolisha Africa nzima.
Habari njema ni leo Wavamizi waliojimilikisha Mariupol wamepelekewa moto hadi wanajuta. ipo siku Mariupol itakombolewa kwa mara ya nne. si Mara ya kwanza Urusi Kuvamia Mariupol na Kuiba chuma. Ni mara nyingi na huwa inaambulia patupu. Mariupol Itakombolewa tu