Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu wa Majeshi wa Ukraine aValerii Fedorovych Zaluzhnyi amemtunuku tuzo ya heshima kutoka kikosi cha 92nd Independent Mechanized Brigade aitwaye Sirk Ruslan Zubarev kwa ushujaa alionesha kuwaua Warusi waliovamia handaki lao. Aliwapelekea moto hadi Warusi wakakimbia
View attachment 2567750
Slava Ukraine [emoji1255]

Ni mwanaume wa shoka. Anajua kutumia multiple weapons. Big up
 
Maandalizi ya Urusi karobu na daraja la Crimea. Utafikiri kwao🤣🤣
20230327_223831.jpg
20230327_223834.jpg
20230327_223837.jpg
 
Ujerumani imeshapeleka mzigo Ukraine na umepokelewa Jumatatu hiii. Ndiyo kifaru bora kwa sasa duniani.

Kilomita 500 ni kama Dar mpaka Karibu na Mwanga mkoani Kilimanjaro.

INTERACTIVE_UKRAINE_LEOPARD_2_TANKS_JAN25.png

Chanzo Aljazeera!!
Hicho Kitafaa sana kumfunza adabu Mrusi.(samahani lakini kama ww ni proRusia). Spidi ya km 72/hr ina maana kitachukua takriban masaa 7 - 8 kikitoka dar kufika hapo Moshi mjini kwa Mangi na kutoa salams. Lakini kikiwa dar manake eneo lote hilo Dar - Mwanga liko kwenye 18 zake.
 
Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.

From USA, Germany, UK hawa ndio wana best tanks and vehicle in the world na wamefungua roho na kutoa mzigo.

It's show time...litakufa jitu.

Source; official Defence of Ukraine Twitter page [emoji16]
20230328_123819.jpg
 
Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.

From USA, Germany, UK hawa ndio wana best tanks and vehicle in the world na wamefungua roho na kutoa mzigo.

It's show time...litakufa jitu.

Source; official Defence of Ukraine Twitter page [emoji16]View attachment 2568584

Hivi vifaru vya ujerumani haviwezi kweli kupondwa na warusi,
au venyewe ni ngangari?
 
Hicho Kitafaa sana kumfunza adabu Mrusi.(samahani lakini kama ww ni proRusia). Spidi ya km 72/hr ina maana kitachukua takriban masaa 7 - 8 kikitoka dar kufika hapo Moshi mjini kwa Mangi na kutoa salams. Lakini kikiwa dar manake eneo lote hilo Dar - Mwanga liko kwenye 18 zake.
Ndiyo maana yake. Wakati kinatembea mwendo pungufu wa Mabasi ya Tanzania kwa kilomita tano, chenyewe kitakuwa kinapiga kilomita 500 mbele. Kuna watu wanatishia kutumia Nyukilia!! 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Hivi vifaru vya ujerumani haviwezi kweli kupondwa na warusi,
au venyewe ni ngangari?
Kwa kutumia kitu gani?? Hujaona imeandikwa "7.62mm Anti-Aircraft Machine Gani"?? Yaani kinarusha kombora kilomita 500 na wewe ukirusha ndege kukishambulia kinaidungua pia.
 
Hivi vifaru vya ujerumani haviwezi kweli kupondwa na warusi,
au venyewe ni ngangari?
Itoshe kukwambia Battle tank ya mjeremani hiyo Leopard 2 ndio the best Battle tank in the world.

Dunia nzima hakuna kifaru chenye accuracy, firepower, speed, maneuverability na uwezo wa kuadapt kwenye different combat situation kama huu mzigo wa mjeremani.

Ni fill digital panel controller, unarusha moto kwa umbali mrefu na bila kumiss target kikoro.

Mjeremani alibembelezwa saana na Dunia ampe dogo mzigo , nae kwa sasa kafungua roho kampa dogo mali.. Hapatoshi.

Kumbuka mjeremani hajawahi kuwa Fala wala kukosea kwenyw ishu ya military equipment technology.

Litakufa jitu mwaka huu. [emoji41]
 
Back
Top Bottom