Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa kuna Wanajeshi 6 wa Ukraine. Waliwapelekea moto Ursi hadi wakakimbia. Warusi walitaka kuingi kwenye handaki lakini wakutana vijana wapo imara. PART TWO: T-pattern. Hawa Warusi kidogo watutoe roho. Uzuri alokuwa na Drone alikuwa anaelekeza adui alipojificha.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wa Majeshi wa Ukraine aValerii Fedorovych Zaluzhnyi amemtunuku tuzo ya heshima kutoka kikosi cha 92nd Independent Mechanized Brigade aitwaye Sirk Ruslan Zubarev kwa ushujaa alionesha kuwaua Warusi waliovamia handaki lao. Aliwapelekea moto hadi Warusi wakakimbia
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…