Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Super Power na kuwa mkubwa kwa Ukraine ni mambo mawili tofauti, Sisi tuliwapiga Uganda lakini siyo super Power.Mkubwa kivip si mnasema ni super power wa mchongo gafla kawa mkubwa [emoji23][emoji23]
Nimeshasema ku argue na watu kama hao ni kupoteza muda wako.Fanfa mfafanulie huyu maana ya "500Km Range" maana yake ni nini? Yeye anasema ni uwezo wa kifaru kutembea kilomita 500 bila ya kujaza mafuta.
Yaani kanichosha sana!! Huwa hata hasikii Askari wakisema "Tunakwenda Range"" yenye hudhani wanakwenda kujaza mafuta??Nimeshasema ku argue na watu kama hao ni kupoteza muda wako.
Haelewi maana ya Range. Hawa watu ni vilaza na hawataki kujifunza. Sasa Tanks fuel consumption na range wapi na wapi?Yaani kanichosha sana!! Huwa hata hasikii Askari wakisema "Tunakwenda Range"" yenye hudhani wakwenda kujaza mafuta??
fanfa nae kashindwa kufafanua kama wewe zaidi katukana tu soma hii kutokaFanfa mfafanulie huyu maana ya "500Km Range" maana yake ni nini? Yeye anasema ni uwezo wa kifaru kutembea kilomita 500 bila ya kujaza mafuta.
Kwanini 2024 na siyo sasa,unanikumbusha ndoto za alinacha.put- in anawaadaa watu wasimuone nduli aliyeiingiza nchi gharama zisizo za lazima.engine kufikia 2024 wafanyakazi wa urusi wataongezewa mishahara yao kwa asilimia 18 na jiulize lengo la vikwazo lilikua ni uchumi udolole lakin kumbe ndio unakua mpaka mishahara inatarajiwa kuongezwa.
𝑼𝒔𝒉𝒂𝒋𝒊𝒃𝒊𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒂𝒂𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒔𝒐𝒎𝒂 𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒋𝒊𝒃𝒖 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒄𝒉𝒊𝒏𝒊Yaani kanichosha sana!! Huwa hata hasikii Askari wakisema "Tunakwenda Range"" yenye hudhani wanakwenda kujaza mafuta??
Hivi hujui kama kilakitu kinaenda kwa malengo na mipango?Kwanini 2024 na siyo sasa,unanikumbusha ndoto za alinacha.put- in anawaadaa watu wasimuone nduli aliyeiingiza nchi gharama zisizo za lazima.
SawasawaSuper Power na kuwa mkubwa kwa Ukraine ni mambo mawili tofauti, Sisi tuliwapiga Uganda lakini siyo super Power.
“The Ukrainians inflicted significant losses on the Russians, and they depleted their stocks of armored vehicles in a way that no one could ever imagine.🤣🤣🤣🤣
View attachment 2570319🤣🤣
Slava Ukraine [emoji1255]Kikosi cha anga cha Ukraine kikiishughulikia drones za Urusi. 9K35 Strela-10
View attachment 2570694
Slava Ukraine [emoji1255]Kazi imeanza. Urusi kaeni chonjo. Ukriane itarudisha ardhi yake yote iliyovamiwa. Urusi ni sawa na Jirani anapiga muziki kwa sauti then unaenda kumpiga na kuchukua ardhi yake kisa wewe una uwezo..
View attachment 2570725
Slava Ukraine [emoji1255]Eti akimkamata Putin atamfanya hivi
View attachment 2571211
Slava Ukraine [emoji1255]Kamikaze drone ya Ukraine ilivyolipua Kifaru cha Urusi
View attachment 2571461