Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani kanichosha sana!! Huwa hata hasikii Askari wakisema "Tunakwenda Range"" yenye hudhani wakwenda kujaza mafuta??
Haelewi maana ya Range. Hawa watu ni vilaza na hawataki kujifunza. Sasa Tanks fuel consumption na range wapi na wapi?

Hizi shule za kata zinazotoa div 4 watu wawili na zero nyingi zinatumwagia uraiani watu ambao vichwani wamejaa urojo.
 
Fanfa mfafanulie huyu maana ya "500Km Range" maana yake ni nini? Yeye anasema ni uwezo wa kifaru kutembea kilomita 500 bila ya kujaza mafuta.
fanfa nae kashindwa kufafanua kama wewe zaidi katukana tu soma hii kutoka

𝑻𝒆𝒄𝒉𝒏𝒐𝒍𝒐𝒈𝒚 𝒂𝒏𝒅 𝒐𝒓𝒊𝒈𝒊𝒏𝒂𝒍 𝒏𝒆𝒘𝒔

Leopard 2 main battle tank: The engine and navigation

The tank uses a 1,500 HP / 1,100 kW engine. The top speed is slightly lower and caps at 63 kilometers per hour, while the 𝐝𝐫𝐢𝐯𝐢𝐧𝐠 𝐑𝐀𝐍𝐆𝐄 𝐢𝐬 450-500 km (280-310 miles) on a good road, or about 220 km (140 miles) in off-road conditions.

Alafu muwe muna elimu na sio kutukana hovyo kama huyo jamaa yako

Nakuachia na swali hili unapoambiwa range ya gari lako ni kilomita ngapi kwa saa hua unajibu vipi? Na unakua umeelewa vipi?

Jamaa yako unae muamin hana anacho kijua labda matusi na kejeli lakin sio facts

𝑵𝒂 𝒖𝒏𝒂𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒑𝒊𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒍𝒊𝒛𝒘𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒊 𝒚𝒐𝒖𝒓 𝒎𝒂𝒙𝒊𝒏𝒖𝒎 𝒓𝒂𝒏𝒈𝒆 𝒐𝒇 𝒚𝒐𝒖𝒓 𝒄𝒂𝒓 𝒐𝒓 𝒕𝒂𝒏𝒌.
 
engine kufikia 2024 wafanyakazi wa urusi wataongezewa mishahara yao kwa asilimia 18 na jiulize lengo la vikwazo lilikua ni uchumi udolole lakin kumbe ndio unakua mpaka mishahara inatarajiwa kuongezwa.
Kwanini 2024 na siyo sasa,unanikumbusha ndoto za alinacha.put- in anawaadaa watu wasimuone nduli aliyeiingiza nchi gharama zisizo za lazima.
 
Yaani kanichosha sana!! Huwa hata hasikii Askari wakisema "Tunakwenda Range"" yenye hudhani wanakwenda kujaza mafuta??
𝑼𝒔𝒉𝒂𝒋𝒊𝒃𝒊𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒂𝒂𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒔𝒐𝒎𝒂 𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒋𝒊𝒃𝒖 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒄𝒉𝒊𝒏𝒊
 
20230330_221633.jpg
 
Back
Top Bottom