Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
FPV drone ya Ukraine ilivyo lipua kifaru cha Urusi
Vijana wa Moscow wanajuta kwenye ardhi ya Ugenini
Vijana wa Moscow wanarutubisha ardhi huko Bakhmut
FPV drone ya Ukraine ikiwashugulikia drone operator wa Urusi.
Huyu Mrusi alienda kufunua walipoficha Makombora bila Kujua drone ya Ukriane ilikuwa inawafuatilia
Vijana wa Moscow wanavyo windwa usiku
anti drone radar "Repeynyk" ya Urusi ilivyo tunguliwa
Angalia Vijana wa Moscow walivyo dakwa
Boss wa Wagners kaenda kuongeza nguvu
Hii gari ilotangulia mbele ni
mine trawl LWMR. Kazi yake ni kutegua mabomu ya ardhini
American Avenger Air Defense System ikiwa Frontline