Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani huko Melitopol, Urusi waliingiza Mzigo kwa siku nne na wote umekwenda na maji. Walizima internet na mawasiliano ili wananchi wasilipoti. Ila hawakuweza kuuficha huo mzigo mkubwa. Wamegeukana eti wamehujumiana
20230407_143428.jpg
 
Back
Top Bottom