Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye Mahandaki ya Bakhmut
20230408_195939.jpg
20230408_195936.jpg
20230408_195934.jpg
20230408_195932.jpg
 
Kwa msaada wa drone, Kikosi Maalum ilibidi kiende kukusanya miili ya Wanajeshi wetu Frontline. Hutuachi mtu nyuma. Tulitandikwa balaa. Mtu anatoka kwenye nchi yake anakuja kuua wananchi wa nchi nyingine bila sababu kisa tu ana uwezo. Kisasi kitawakuta Urusi. Ndo Maana Azov wakimkamata Mrusi wanamtoboa macho. Part one.
 
View attachment 2581366
Inasikitisha mno. RIP Mashujaa wa Ukraine. Mmeitetea ardhi yenu kwa uzalendo wa hali ya juu hadi tone la mwisho la damu yenu.
 
Ukraine imekataa ku retreat lakini ukweli Bakhmut inachukuliwa na Russia.

1. Offensive iliyofanywa na Wagner/Russia tarehe 5-8/04/2023 imefanya Robo tatu ya Bakhmut kuwa chini ya Wagner/Russia. Bado narudia kusema kuwa, kwa Bakhmut Ukraine imezidiwa mbinu za kijeshi na kwamba Bakhmut inachukuliwa soon na Russia.

2. Nimesema mara nyingi kuwa wagner/russia kwa direction ya Bakhmut si wa kubezwa kwa propaganda. They are real fighting to take Bakhmut at any cost. Kwa sasa sina shaka kabisa Bakhmut inachukuliwa soon.

3. Kuchukuliwa kwa Bakhmut kutai cost Ukraine na kuwavunja moyo wa-ukraine na wapiganaji. Kama mimi inaniuma kiasi hicho kwa wapiganaji na wa-ukraine wanapata maumivu kiasi gani kwa kuipoteza Bakhmut.

4. Bado nawalaumu USA & allies kwa kutusaidia kimafungu mafungu badala ya kutupa silaha kwa wakati unaotakiwa. Najua lengo lao ni kurefusha vita lakini wana waumiza waukraine.
 
Back
Top Bottom