figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #12,961
Kamikaze ya Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Wavamizi wamedakwa kama kuku wa kisasa.
View attachment 2587313
Bila picha au vid.clip haijakaa sawa.Jamani huko kichapo kikali mapaka wamekimbia kambi na kuacha siraha duu Ukrein imeniaibisha.
Ukitaka picha ni kule kwenye Uzi wa kutupia picha za mdada mzuri worldwide,Bila picha au vid.clip haijakaa sawa.
Huu uzi tangu awali ni Video na picha kutoka vikosi vya jeshi la Ukraine walio frontline........Ukitaka picha ni kule kwenye Uzi wa kutupia picha za mdada mzuri worldwide,
Huo Uzi bila picha hauendi.
Yeah. Hiyo nayo huwa ni mbinu mojawapo.Video hiyo wamekimbia bila kupambana.
kwa lugha ya Kiingereza inaitwa "Retreat". Yaani unakimbia leo ili uishi kupambana kesho!!Jamani huko kichapo kikali mapaka wamekimbia kambi na kuacha siraha duu Ukrein imeniaibisha.
Jawabu lililojitosheleza hilo. Kwa mantiki hiyo mtu asishangilie sana kuokota hivyo vilivyoachwa/Telekezwa. Wenyenavyo watakuja au watarudi kuchukua mali zao. 😳kwa lugha ya Kiingereza inaitwa "Retreat". Yaani unakimbia leo ili uishi kupambana kesho!!
Kukimbia vitani ni jambo la kawaida sana na ndiyo maana vita imegawanywa kwenye mapigano (Battle)ambapo ili ushinde vita ni lazima ushinde mapigano mengi ama umlazimishe adui yako akimbie mapigano.Jawabu lililojitosheleza hilo. Kwa mantiki hiyo mtu asishangilie sana kuokota hivyo vilivyoachwa/Telekezwa. Wenyenavyo watakuja au watarudi kuchukua mali zao. 😳
1. Cheap propaganda. Hizi ni picha za mwaka jana Feb 2022 mwanzoni mwa vita ndo unaleta leo.Video hiyo wamekimbia bila kupambana.
Aisee! Kumbe mwamba anatuletea vya 2022? Kwa mantiki hiyo haaminiki tena ni sawa na Putin.1. Cheap propaganda. Hizi ni picha za mwaka jana Feb 2022 mwanzoni mwa vita ndo unaleta leo.
2. Tuambie kuwa hapo ni wapi kama siyo Kherson kipìndi Russia wameiteka Kherson. Hata tukikuuliza eneo gani huwezi kututajia. Hujui kuwa technology imekuwa kubwa watu wana Geo-locate wanajua ni wapi picha hii imechukuliwa.
3. Unalishwa matango pori, unakuja mbio utadhani huu ni uzi wa mapoyoyo. Kajipange upya ndo ulete propaganda
Hayo maneno "njooni kwangu nyinyi nyote mliolemewa..." aliyatamka nani?njooni kwangu nyinyi nyote mliolemewa na propaganda za marekani na wenzie ulaya nato nami nitawalinda na kuwapumzisha ......mimi PUTIN kiboko ya marekani na ukraini hawatuwezi na kamwe hawatatuweza kivita na tukimaliza ukraini tunaelekea polandView attachment 2591277