Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mie sikuafiki kabisa kitendo chake cha kuivamia ile nchi ndogo hivyo. Kwa nini asijaribu kufanya hivyo kwa wakubwa na wababe wenzake? Ni kwa kitendo hiko nimemchukia mazima.
pole sana ndio hivyo tulizoea kuona marekan na wenzie wakivamia nchi zinazo itwa za madikteta kama libya iraq siria afghanistan ....
sasa kwanini wasimvamie dikteta putin na urusi wampige kwa kumuonea ukrain nchi ndogo vile ........
mi natamani mkubwa wa dunia aivamie russia dhaifu aipige afu tuone itakuwajee
 
Mhhh. Mahesabu ya vita/uvamizi directly yalikataa. Fursa pekee iliyojitokeza ndo hiyo -Ukraine frontline.
 
Mhhh. Mahesabu ya vita/uvamizi directly yalikataa. Fursa pekee iliyojitokeza ndo hiyo -Ukraine frontline.
sasa ndio ujue russia sio ya kitoto au iraq au libya nakuhakikishia hakuna taifa lolote litakuwa na uthubutu kumvamia russia marekanni na wenzie wanamjua mrussi toka karne nyingi hakubali kushindwa vita huwa ana shinda vita zote afu hawakati tamaa linapokuja jambo la kujilinda ......hawawezi sogeza pua watakuwa wanatoa misaada tu kwa bwana mdogo tu basi
 
Ni muda sasa hajaleta update humu. Uzi hautembei tena. Isijekuwa alikuwa frontline na mambo yamekuwa mambo. Napata hofu na ukimya wake!.
Kweli mkuu, naona alikuwa anatumia lugha ya wenzetu wamesonga mbele! asije akawa amepatwa na tatizo wakuu.
 
figgafigga kaliwa kichwa huko ukrain [emoji23][emoji23]View attachment 2601372
Kufa ni mipango ya Mungu sio Matakwa ya binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai na kuiona leo. Kila binadamu ana misukosuko. Mrusi anapigwa balaa. Soon tutakuwa active.

Nipo gado na updates za kuwaeleza jinsi Urusi anakung'utwa zinaendelea.

Mwezi wa kumi sasa Urusi anapambana kuiteka Bakhumut lakini anatoa kamasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…