Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huko soledar, Prigozhin boss wa Wagners amekamata shehena ya siraha za Ukraine, tatizo hawana uwezo wa kuzitumia wala risasi. Sasa anataka eti wabadilishane na Ukraine. Ukraine watoe silaha walizoteka na wao wawape huo mzigo. Ukraine wamegoma. Ukraine wana mifumo ya silaha walizoteka, Wagners hawana mofumo. Sana sana wataziteketeza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…