figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #13,181
Mkuu; kwani shida iko wapi? Je, sio kweli kwamba Eneo la Tanzania ni kubwa kuliko lile la Ukraine? auBro hebu kuwa serious uwe unafanya na research Ukraine ni ¹/4 ya Tanzania [emoji848]
Unaona inaikomalia Urusi ukajua Ukraine ni kubwa? Pamoja na kwamba nimetia mbwembwe ila ukweli ni Tanzania ni Kubwa kuliko Ukraine.Bro hebu kuwa serious uwe unafanya na research Ukraine ni ¹/4 ya Tanzania [emoji848]
Wahenga waliwahi kusimulia kwamba ukubwa sio hoja bali maarifa kwa kutoa mfano wa jinsi chura(frog) anavyomwuua tembo(elephant) licha ya ukubwa wa tembo ukilinganisha na ule wa chura.Unaona inaikomalia Urusi ukajua Ukraine ni kubwa? Pamoja na kwamba nimetia mbwembwe ila ukweli ni Tanzania ni Kubwa kuliko Ukraine.
Tanzania ina eneo la 947,300 km² (365,754 mi²), Wakati ukiraine ikiwa na eneo la 603,550 km² tu lakini Wanalisha Dunia. Eneo wanalolima ni dogo hata ⅛ ya eneo tuliko Tanzania. Achilia mbali hiyo unayosema ¼. Huwezi kuamini. Ukriane inaingia mara 28 kwa nchi ya Urusi.