Kweli mkuu. Damu ya wana-Ukraine wasio na hatia haitamwacha salama. Amechanganyikiwa kiasi kwamba anamgombeza hata Boss wake. Hivi alidhani yeye na kundi lake (Wagners)wamekuja Ukraine kibabe na ulafi wa fedha ya malipo kwa kuwaua Waukraine halafu iweje??. Very stupid old guy.Kiakili hayuko sawa Prigozhin. Ana psychological trauma. Damu ya wa-Ukraine wasio na hatia inamwandama.
Big up Ukranian troops
Aisee! Vita ya Mrusi ni kama vita ya mwendawazimu. Hana lengo maalum(Target) bali ni rampant destruction and demolition of civil infrastructure. Sasa je, Ikitokea kwa mfano Mrusi akaambiwa OK chukua hiyo Bakhmut iwe ni ya kwako, je, atakuja kutawala hicho kifusi? Ama kweli akili ya Mrusi haitofautiani sana na ile ya Nguruwe kubomoa banda lake mwenyewe.
1. Prigozhin alifikiri Ukraine ni jeshi dhaifu, ukizingatia tangu 2014 amekuwa akipigana na majeshi ya Ukraine huko DONBAS. Pia kikundi chake kilishiriki kwenye uvamizi wa Crimea 2014. Hivo basi tangu mwanzo aliamini kuwa Ukraine wataipiga na kuweka mtawala mwingine na Donbas kuwa sehemu ya Russia. Kwa kuwa lengo lake ni kampuni yake ijulikane dunia nzima kuwa ina umahiri wa kupigana ili aendelee kukodiwa kwa matendo yake ya kinyama.Kweli mkuu. Damu ya wana-Ukraine wasio na hatia haitamwacha salama. Amechanganyikiwa kiasi kwamba anamgombeza hata Boss wake. Hivi alidhani yeye na kundi lake (Wagners)wamekuja Ukraine kibabe na ulafi wa fedha ya malipo kwa kuwaua Waukraine halafu iweje??. Very stupid old guy.
Ukraine troops ongezeni makali ya kichapo ili Wagners wajue kuwa walikuwa hawajui. 🙄 💪 🔨
1. Russia anapigana achukue ardhi ya Ukraine ili avune rasilimali zilizopo pale pamoja na ardhi nzuri yenye rutuba ya ukraine.Aisee! Vita ya Mrusi ni kama vita ya mwendawazimu. Hana lengo maalum(Target) bali ni rampant destruction and demolition of civil infrastructure. Sasa je, Ikitokea kwa mfano Mrusi akaambiwa OK chukua hiyo Bakhmut iwe ni ya kwako, je, atakuja kutawala hicho kifusi? Ama kweli akili ya Mrusi haitofautiani sana na ile ya Nguruwe kubomoa banda lake mwenyewe.
Kitendo cha Drone kutua uwanjani ni salamu tosha kabisa. Ajue kuwa wanaume wako kazini.Naona kama Urusi ni dhaifu kwenye mfumo wa anga. Leo drone ya Ukraine imefika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo jijini Moscow huko Urusi, na kuikosakosa ndege aina ya Aeroflot Airbus A320 ilipokuwa inatua. Kosa lililofanyika ni aliattack wakati haijasimama. Angesubiri isimame tu ndo ilipue. Ungesikia kiongozi fulani wa Urusi kafa😂😂😂
View attachment 2611058
Hata hivo itampa headache sana Mrusi kwani hajui kesho itakuwa ni wapi. Atakosa usingizi.Naona kama Urusi ni dhaifu kwenye mfumo wa anga. Leo drone ya Ukraine imefika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo jijini Moscow huko Urusi, na kuikosakosa ndege aina ya Aeroflot Airbus A320 ilipokuwa inatua. Kosa lililofanyika ni aliattack wakati haijasimama. Angesubiri isimame tu ndo ilipue. Ungesikia kiongozi fulani wa Urusi kafa😂😂😂
View attachment 2611058
AamenTimu langu AZOV. Vijana wasio na kanuni na wenye Risasi za Kikatili
View attachment 2611339
For 9 years now, the Azov Regiment has been heroically fighting for Ukraine.
Since its creation in 2014, it has become a symbol of the courage and fortitude of Ukrainians. We recall the most famous operations involving the regiment:
▪️Fights for Mariupol and Azovstal. From March to May, the soldiers of the regiment heroically held the defense of the metallurgical plant, despite the horrendous conditions.
▪️Azov made a significant contribution in the battles for the Kharkiv region. As a result of their well-coordinated work, they managed to successfully develop a counteroffensive and liberate the region.
Now the guys have joined the "Offensive Guard" and are preparing to liberate new territories. We wish them a successful counteroffensive, and that their relatives wait for them safe and sound 🔥