Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kiakili hayuko sawa Prigozhin. Ana psychological trauma. Damu ya wa-Ukraine wasio na hatia inamwandama.

Big up Ukranian troops
Kweli mkuu. Damu ya wana-Ukraine wasio na hatia haitamwacha salama. Amechanganyikiwa kiasi kwamba anamgombeza hata Boss wake. Hivi alidhani yeye na kundi lake (Wagners)wamekuja Ukraine kibabe na ulafi wa fedha ya malipo kwa kuwaua Waukraine halafu iweje??. Very stupid old guy.
Ukraine troops ongezeni makali ya kichapo ili Wagners wajue kuwa walikuwa hawajui. 🙄 💪 🔨
 
Aisee! Vita ya Mrusi ni kama vita ya mwendawazimu. Hana lengo maalum(Target) bali ni rampant destruction and demolition of civil infrastructure. Sasa je, Ikitokea kwa mfano Mrusi akaambiwa OK chukua hiyo Bakhmut iwe ni ya kwako, je, atakuja kutawala hicho kifusi? Ama kweli akili ya Mrusi haitofautiani sana na ile ya Nguruwe kubomoa banda lake mwenyewe.
 
Naona kama Urusi ni dhaifu kwenye mfumo wa anga. Leo drone ya Ukraine imefika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo jijini Moscow huko Urusi, na kuikosakosa ndege aina ya Aeroflot Airbus A320 ilipokuwa inatua. Kosa lililofanyika ni aliattack wakati haijasimama. Angesubiri isimame tu ndo ilipue. Ungesikia kiongozi fulani wa Urusi kafa😂😂😂
20230505_162758.jpg
 
Sasa Mkoani Zaporizhia moto unaenda kuwaka. Na Urusi wameshashitukia, wameanza kuhamisha familia zao kutoka kwenye Miji 18 ambayo ni Timoshovka, Smirnovo, Tarasovka, Orlyanskoe, Molochansk, Kuibyshevo, Prishib, Tokmak, Malaya Belozerka, Vasilyevka, Velikaya Belozerka, Dneprorudnoe, Mikhailovka, Kamenka-Dneprovskaya, Energodar, Canopies, Horse Discord, Rozovka.
20230505_163954.jpg
 
Eti bendera ya Ukraine inamkera🤣🤣🤣

Wajumbe wa Ukraine na Urusi wamelazimika kutenganishwa, kwenye kilele cha mkutano wa 61 wa nchi za Bahari Nyeusi uliofanyika katika Mji Mkuu wa Uturuki, Ankara, baada ya Mjumbe wa Ukraine kumpiga ngumi Mwakilishi wa Urusi ambaye alishusha bendera ya Ukraine kwenye mkutano huo.
 
Kweli mkuu. Damu ya wana-Ukraine wasio na hatia haitamwacha salama. Amechanganyikiwa kiasi kwamba anamgombeza hata Boss wake. Hivi alidhani yeye na kundi lake (Wagners)wamekuja Ukraine kibabe na ulafi wa fedha ya malipo kwa kuwaua Waukraine halafu iweje??. Very stupid old guy.
Ukraine troops ongezeni makali ya kichapo ili Wagners wajue kuwa walikuwa hawajui. 🙄 💪 🔨
1. Prigozhin alifikiri Ukraine ni jeshi dhaifu, ukizingatia tangu 2014 amekuwa akipigana na majeshi ya Ukraine huko DONBAS. Pia kikundi chake kilishiriki kwenye uvamizi wa Crimea 2014. Hivo basi tangu mwanzo aliamini kuwa Ukraine wataipiga na kuweka mtawala mwingine na Donbas kuwa sehemu ya Russia. Kwa kuwa lengo lake ni kampuni yake ijulikane dunia nzima kuwa ina umahiri wa kupigana ili aendelee kukodiwa kwa matendo yake ya kinyama.

2. Kama counter offensive ya Ukraine itafanikiwa kuwafurusha Wagner/Russia Bakhmut, soledar, Vuhledar, Avdiivika na maeneno mengine ya Donetsk & Luhansk hapana shaka kundi lake (Wagner) litakuwa limedhoofika sana na umaarufu wake kupotea.

3. Ukraine wana akili sana. Walipoona wagner/Russia wame concentrate majeshi yao Bakhmut, soledar, Vuhledar na Avdiivika wakaona watumie maeneo hayo kuwadhoofisha wagner/russia. Pamoja na kwamba wamefanikiwa kuchukua Soledar (100%) na Bakhmut (85%) lakini cha moto wamekipata kwa kupoteza wanajeshi wengi na vifaa.
 
Aisee! Vita ya Mrusi ni kama vita ya mwendawazimu. Hana lengo maalum(Target) bali ni rampant destruction and demolition of civil infrastructure. Sasa je, Ikitokea kwa mfano Mrusi akaambiwa OK chukua hiyo Bakhmut iwe ni ya kwako, je, atakuja kutawala hicho kifusi? Ama kweli akili ya Mrusi haitofautiani sana na ile ya Nguruwe kubomoa banda lake mwenyewe.
1. Russia anapigana achukue ardhi ya Ukraine ili avune rasilimali zilizopo pale pamoja na ardhi nzuri yenye rutuba ya ukraine.

2. Lengo la Russia siyo kutawala watu wa Ukraine. Wangekuwa wanapigana ili wawatawale wasingekuwa wanapiga makombora kwenye makazi ya raia au kuharibu miundombinu yao ya huduma muhimu. Russia lengo lake ni kuangamiza kizazi cha Ukraine. Ndiyo maana alitaka kipindi cha winter wafe wote kwa kuhakikisha anaharibu miundombinu ya umeme na heating system.
 
Naona kama Urusi ni dhaifu kwenye mfumo wa anga. Leo drone ya Ukraine imefika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo jijini Moscow huko Urusi, na kuikosakosa ndege aina ya Aeroflot Airbus A320 ilipokuwa inatua. Kosa lililofanyika ni aliattack wakati haijasimama. Angesubiri isimame tu ndo ilipue. Ungesikia kiongozi fulani wa Urusi kafa😂😂😂
View attachment 2611058
Kitendo cha Drone kutua uwanjani ni salamu tosha kabisa. Ajue kuwa wanaume wako kazini.
 
Watu wa Ukriane wanapendana sana, kuwaboa sio rahisi. Ingekuwa nchi ya Africa Wasaliti wangekuwa kibao. Waukraine ni Wazalendo ndo maana Urusi wanapata tabu. Warusi wakipita wananchi wanapiga simu. Wavamizi wapo huku na vifaru 5
 
Timu langu AZOV. Vijana wasio na kanuni na wenye Risasi za Kikatili
20230505_211131.jpg

For 9 years now, the Azov Regiment has been heroically fighting for Ukraine.

Since its creation in 2014, it has become a symbol of the courage and fortitude of Ukrainians. We recall the most famous operations involving the regiment:

▪️Fights for Mariupol and Azovstal. From March to May, the soldiers of the regiment heroically held the defense of the metallurgical plant, despite the horrendous conditions.

▪️Azov made a significant contribution in the battles for the Kharkiv region. As a result of their well-coordinated work, they managed to successfully develop a counteroffensive and liberate the region.

Now the guys have joined the "Offensive Guard" and are preparing to liberate new territories. We wish them a successful counteroffensive, and that their relatives wait for them safe and sound 🔥
 
Naona kama Urusi ni dhaifu kwenye mfumo wa anga. Leo drone ya Ukraine imefika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo jijini Moscow huko Urusi, na kuikosakosa ndege aina ya Aeroflot Airbus A320 ilipokuwa inatua. Kosa lililofanyika ni aliattack wakati haijasimama. Angesubiri isimame tu ndo ilipue. Ungesikia kiongozi fulani wa Urusi kafa😂😂😂
View attachment 2611058
Hata hivo itampa headache sana Mrusi kwani hajui kesho itakuwa ni wapi. Atakosa usingizi.
 
Timu langu AZOV. Vijana wasio na kanuni na wenye Risasi za Kikatili
View attachment 2611339
For 9 years now, the Azov Regiment has been heroically fighting for Ukraine.

Since its creation in 2014, it has become a symbol of the courage and fortitude of Ukrainians. We recall the most famous operations involving the regiment:

▪️Fights for Mariupol and Azovstal. From March to May, the soldiers of the regiment heroically held the defense of the metallurgical plant, despite the horrendous conditions.

▪️Azov made a significant contribution in the battles for the Kharkiv region. As a result of their well-coordinated work, they managed to successfully develop a counteroffensive and liberate the region.

Now the guys have joined the "Offensive Guard" and are preparing to liberate new territories. We wish them a successful counteroffensive, and that their relatives wait for them safe and sound 🔥
Aamen
 
Back
Top Bottom