Kweli mkuu. Damu ya wana-Ukraine wasio na hatia haitamwacha salama. Amechanganyikiwa kiasi kwamba anamgombeza hata Boss wake. Hivi alidhani yeye na kundi lake (Wagners)wamekuja Ukraine kibabe na ulafi wa fedha ya malipo kwa kuwaua Waukraine halafu iweje??. Very stupid old guy.Kiakili hayuko sawa Prigozhin. Ana psychological trauma. Damu ya wa-Ukraine wasio na hatia inamwandama.
Big up Ukranian troops
Ukraine troops ongezeni makali ya kichapo ili Wagners wajue kuwa walikuwa hawajui. 🙄 💪 🔨