Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Freedom of russia legion huko Novosibirsk, wamenyata hadi zilipo egeshwa ndege za jeshi la Urusi wakazitia moto
Jana Putin alisema kuwa sasa Russia iko kwenye "Real war". Sababu ya kusema hivo ni kwamba kuna wanajeshi walioko ndani ya Russia wanashirikiana na Ukrainian and west.

Quote
“Today, civilization again is at a breaking point,” Putin said. “Again, a true war has been unleashed against our motherland.” Putin suggested darkerforces are conspiring against Moscow.
 
Kweli kichwa cha Putin kimejaa tope. Yan muda wote huo (zaidi ya 1yr)alikuwa hajui kwamba nchi yake iko vitani? Sasa ndo anajua alikuwa hajui.
 
Ukisikia mtu (Putin) anaanza kutangazia dunia kwa matukio makubwa hivyo (jana) eti anataka kupinduliwa, ujue kaanza kutepeta. Eti Ukraine inatumiwa na masters wao kutaka kumpindua. Anatafuta huruma ya wananchi

Mara hii kasahau kuwa mwaka jana February 2022 alivamia Ukraine kwa lengo la kumpindua Zelenskyy na kuitawala Ukraine.

Bila shaka dish lake limeanza kusoma chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…