Msione Urusi hawasongi mbele mkadhani hawapambani au wamepuuza. Ukweli ni kwamba wanakutana na vijana wa Ukriane mzizi wa mpingu. Wanatumia mbinu zote na uwezo wao lakini wapi. Leo Urusi karusha Missiles 18 lakini 3 tu ndo zimegusa ardhi. Nyingine zinetunguliwa. Sasa hivi Ukriane wanatunia mifumo ya Ulinzi wa anga aina ya Buk-M1, S-300, Nasams, Iris-T, na Patriot. Zingatia Ukraine ni Nchi ndogo sana labda mara nne yake ndo uipate Tanzania. Lakini kamdindia Urusi hadi aibu. Bakhmut mwezi wa kumi sasa kila siku wanasema tumeizunguka Bakhmut bado Km 2 tu kuzunguka.
Kuna jamaa alicomenti hapa nataka nimuulize km 2 ziraisha lini?
View attachment 2606437