Imegundulika Putin anaumwa sana, ndo maana haonekani hadharani. Tulikuwa tunaangalia Video alipokuwa anadanganywa eti Mariupol imetekwa. Ile Video ukaangalia kashikilia meza kama egemeo mwanzo mwisho. Hajitikisi yaani utafikiri kachorwa. Atakuwa mgongo, shingo kiuno au nyonga havipo sawa. Adui muombee kifo
Urusi: Kiwanda kikubwa cha Kemikali cha Dmitrievsky, kililipuliwa, kilikuwa muuzaji mkuu wa propellants kwa jeshi la Kirusi. Ni umbali wa maili 250 Mashariki mwa Moscow. Wahujumu wa Urusi walijua nini cha kupiga.
Vifaru Viwili vya Urusi vimelipuliwa Izyum. Aina ya T-72B3. Hivi ni vifaru vya Gharama. Siku ya Uhuru huwa. Aona Tanzania wanaonesha Umma na Dunia Vifaru aina ya T-72. Vifaru vya T-72 vilitengenezwa kuanzia mwaka 1969. Ndo vile vya vita ya Kagera
Sasa hivi Urusi wana Vifaru vipya aina ya T-14 Armata MBT. Gharama yake kimoja ni kuanzia Tsh 7 Bilioni kuendelea. Havijaja Ukraine, Naona watauzia nchi zenye Vita mfano Syria, Libya na Vikundi vya Kigaidi. Sasa hivi Ukraine, Urusi wanatumia vifaru vingi Generation ya T-72.
Tulitegemea wavitumie Donbas na Mariupol lakini waligoma kuvileta. Tusingevilipua, ilikuwa ni kuviteka tu. Vitusaidie kujilinda
Tulikuwa tunajiuliza, kwanini Urusi Vifaa vyao havina shabaha? Vinaishia kubomoa majengo na Miundombinu? Tukagundua ni vifaa vya zamani.
Mtaalam wa Vifaa vya electronic wa Ukraine, amegundua vifaa vya elektroniki katika Х-55, Х-555, na Х-101 na akabaini kuwa ni vya miaka ya 60-70. Sehemu ya navigation yaPGI-2М ni ya kutoka 1977. Ndiyo sababu makombora hayapigi shabaha. Wanataka kugeuza Ukraine dampo la Vifaru vyao au? Sababu tushatekeza Vifaru tu zaidi ya 800.
Nimeshangaa. Urusi waliwaweka watoa Maamuzi na maelekezo wote sehemu Moja Mkoani Kherson. Matokeo yake Comand Post waliokuwepo wote wamekufa wakiwemo Viongozi wao 50. Hongera Ukraine.