figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,301
Imegundulika Putin anaumwa sana, ndo maana haonekani hadharani. Tulikuwa tunaangalia Video alipokuwa anadanganywa eti Mariupol imetekwa. Ile Video ukaangalia kashikilia meza kama egemeo mwanzo mwisho. Hajitikisi yaani utafikiri kachorwa. Atakuwa mgongo, shingo kiuno au nyonga havipo sawa. Adui muombee kifo