Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Reuters wanaripoti taarifa za madai kuwa Ukraine imeangusha Hypersonic missiles kadhaa leo kwa kutumia Patriot defence system.

 

1. Patriot ni kweli ilifanikiwa ku- intercept baadhi ya missiles.

2. Pia ni kweli walifanikiwa kuipiga Patriot moja. Russia walirusha six (6) hypersonic missiles kwa wakati mmoja kwa kutumia ndege sita (6) tofauti. Missile zote zilikuja kwa wakati mmoja. Ilifanikiwa kuzidaka missile zingine lakini zingine zikapenya na kuiharibu.
 
Sasa hapo wamewatia hasira wamarekani zaidi kuongeza ulinzi wa anga, maana Marekani ni Taifa la wabishi sana.

May be Waukraine waanze kujifunza kuzificha Patriot batteries, maana kikawaida Patriot huwa haifichwi inakaa wazi tu
 
Jana Jeshi la anga la Urusi, liliangusha na kuteketeza ndege zao nne wakijua ni ndege za Ukriane.

Nxege zilizolipulia ni Helkopta 2 aina ya Mi-8, ndege moja aina ya Su 34 na nyingine moja aina ya Su 35
View attachment 2621401
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…