Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sasa hapo wamewatia hasira wamarekani zaidi kuongeza ulinzi wa anga, maana Marekani ni Taifa la wabishi sana.

May be Waukraine waanze kujifunza kuzificha Patriot batteries, maana kikawaida Patriot huwa haifichwi inakaa wazi tu
Mimi naamini USA wanajua weakness ya Patriot system ilipo against Hypersonic missiles za Russia. Russia walifanikiwa ku-intercept signals za Patriot na wakajua ilipo ndo wakaamua kuipelekea mashambulizi mengi kwa wakati mmoja to over whim.
 
Mimi naamini USA watajua weakness ya Patriot system ilipo against Hypersonic missiles za Russia. Russia walifanikiwa ku-intercept signals za Patriot na wakajua ilipo ndo wakaamua kuipelekea mashambulizi mengi kwa wakati mmoja to over whim.
Rafiki zetu wa Ukraine mbona wanachelewesha counter offensive?. Wakizidi kuweka usiku, Urusi atakusanya Intelijensia ya wapi zana zilipo na kuzipelekea moto.

Natamani Waukraine waanze kupeleka fire siyo kungojangoja sana
 
1. Ili counter offinsive ianze lazima kwanza anga liwe salama.

2. Lazima frontline ilindwe kwa mashambilizi ya anga.

3. Lazima uwe na resources za kutosha (human, equipment and ammunition ). Ndiyo maana wanaendelea na mobilization ya equipment na human resource (wanajeshi waliopo mafunzoni warudi)
 
Hii ya kulinda front line dhidi ya mashambulizi ya anga nimekuelewa sana.

Lakini mbona ile counter offensive ya mwaka jana ilienda vizuri bila ulinzi mkubwa wa anga, hii ilikuwaje?
 
Kilichomfanya Russia aweze ku retreat mwaka jana kulikuwa na sababu kuu mbili;
1. Kikosi cha HIMARS, Artillery na MLRS vilifanya kazi nzuri sana ya kukata supply ya Russia kwenda frontline. Walifanikiwa ku paralyse supply logistic ya Russia. Kikosi cha HIMARS kiliwachanganya sana Russia. Maghala ya silaha yaliteketezwa mengi sana. Vikosi nilivyovitaja viliteketeza silaha nyingi sana za Russia na frontline ya Russia kuwa na upungufu wa risasi na military equipments. Walipiga strategic targets (post) za Russia na kusababisha upungufu wa wanajeshi wa Russia. Haya yote yalifanikiwa sababu Ukraine ilikuwa imepata silaha na risasi za kutosha kutoka kwa washirika.

2. Kitendo cha Russia kupeleka mobilized troops frontline bila kuwapa mafunzo ya kutosha ilikuwa ni kosa kubwa sana. Ndiyo maana waliuawa sana. Mtakumbuka kipindi kile figganigga alikuwa anatuletea picha za ndafu nyingi sana.
 
We ngoja subiri wanaume wajipange halafu unsikizie kichapo atakachopewa Fashist. Vijana wa Ukraine wanausongo naye. πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…