kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Zelensky alipofika Ujerumani akasaini kwenye kitabu kwanza
View attachment 2621759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Zelensky alipofika Ujerumani akasaini kwenye kitabu kwanza
View attachment 2621759
Slava Ukraine [emoji1255]Colonel Makarov Vyacheslav ameuawa huko Bakhmut, 13/14 May ’23.
View attachment 2621799
Slava Ukraine [emoji1255]Colonel Brovko Evgeny amuawa Bakhmut, Tarehe 13/14 May ’23.
View attachment 2621807
Slava Ukraine [emoji1255]Senior Lieutenant wa Wagners Prokopenko Dmitry Alexandrovich
View attachment 2621815
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi baada ya kuona wataisha wote, waliobaki wakajisalimisha
View attachment 2622828
Mimi naamini USA wanajua weakness ya Patriot system ilipo against Hypersonic missiles za Russia. Russia walifanikiwa ku-intercept signals za Patriot na wakajua ilipo ndo wakaamua kuipelekea mashambulizi mengi kwa wakati mmoja to over whim.Sasa hapo wamewatia hasira wamarekani zaidi kuongeza ulinzi wa anga, maana Marekani ni Taifa la wabishi sana.
May be Waukraine waanze kujifunza kuzificha Patriot batteries, maana kikawaida Patriot huwa haifichwi inakaa wazi tu
Rafiki zetu wa Ukraine mbona wanachelewesha counter offensive?. Wakizidi kuweka usiku, Urusi atakusanya Intelijensia ya wapi zana zilipo na kuzipelekea moto.Mimi naamini USA watajua weakness ya Patriot system ilipo against Hypersonic missiles za Russia. Russia walifanikiwa ku-intercept signals za Patriot na wakajua ilipo ndo wakaamua kuipelekea mashambulizi mengi kwa wakati mmoja to over whim.
1. Ili counter offinsive ianze lazima kwanza anga liwe salama.Rafiki zetu wa Ukraine mbona wanachelewesha counter offensive?. Wakizidi kuweka usiku, Urusi atakusanya Intelijensia ya wapi zana zilipo na kuzipelekea moto.
Natamani Waukraine waanze kupeleka fire siyo kungojangoja sana
Hii ya kulinda front line dhidi ya mashambulizi ya anga nimekuelewa sana.1. Ili counter offinsive ianze lazima kwanza anga liwe salama.
2. Lazima frontline ilindwe kwa mashambilizi ya anga.
3. Lazima uwe na resources za kutosha (human, equipment and ammunition ). Ndiyo maana wanaendelea na mobilization ya equipment na human resource (wanajeshi waliopo mafunzoni warudi)
1. Ili counter offinsive ianze lazima kwanza anga liwe salama.Rafiki zetu wa Ukraine mbona wanachelewesha counter offensive?. Wakizidi kuweka usiku, Urusi atakusanya Intelijensia ya wapi zana zilipo na kuzipelekea moto.
Natamani Waukraine waanze kupeleka fire siyo kungojangoja sana
Kilichomfanya Russia aweze ku retreat mwaka jana kulikuwa na sababu kuu mbili;Hii ya kulinda front line dhidi ya mashambulizi ya anga nimekuelewa sana.
Lakini mbona ile counter offensive ya mwaka jana ilienda vizuri bila ulinzi mkubwa wa anga, hii ilikuwaje?
Jamaa ushuzi wake una petrol nini. Ushuzi unasababisha moto kabisa 😂😂
Vodka- Vodka haijamwacha mtu salama. Ona sasa moto maeneo ya Ikulu.Jamaa ushuzi wake una petrol nini. Ushuzi unasababisha moto kabisa 😂😂
We ngoja subiri wanaume wajipange halafu unsikizie kichapo atakachopewa Fashist. Vijana wa Ukraine wanausongo naye. 💪 💪 🔨Kilichomfanya Russia aweze ku retreat mwaka jana kulikuwa na sababu kuu mbili;
1. Kikosi cha HIMARS, Artillery na MLRS vilifanya kazi nzuri sana ya kukata supply ya Russia kwenda frontline. Walifanikiwa ku paralyse supply logistic ya Russia. Kikosi cha HIMARS kiliwachanganya sana Russia. Maghala ya silaha yaliteketezwa mengi sana. Vikosi nilivyovitaja viliteketeza silaha nyingi sana za Russia na frontline ya Russia kuwa na upungufu wa risasi na military equipments. Walipiga strategic targets (post) za Russia na kusababisha upungufu wa wanajeshi wa Russia. Haya yote yalifanikiwa sababu Ukraine ilikuwa imepata silaha na risasi za kutosha kutoka kwa washirika.
2. Kitendo cha Russia kupeleka mobilized troops frontline bila kuwapa mafunzo ya kutosha ilikuwa ni kosa kubwa sana. Ndiyo maana waliuawa sana. Mtakumbuka kipindi kile figganigga alikuwa anatuletea picha za ndafu nyingi sana.