Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Picha za Snipers wa kikosi tofauti cha 28 28th separate mechanized brigade waliopewa jina la Knights of the Winter Campaign.


 
Msafara wa Urusi ulivyo chakazwa hapa unaweza kuona KamAZ ya mafuta na 2C3 self-propelled howitzer "Acacia"
Your browser is not able to display this video.
 
Duuh kweli vita zina propaganda. Ukija uzi huu ni kama Urusi anachakazwa ukienda kule utaambiwa Ukraine anachakazwa vibaya. Sisi wa Mbutu kigamboni yetu macho na maskio
 
Vifaru vya Slovakia vinaelekea Donbas na Ukraine kifanyishwa kazi.
Your browser is not able to display this video.
 
Vikosi vya 36th Marine Brigade na The Azov Regiment, wameamua kujinoa upya ili warudi kupambana na Urusi ambao walivamia na kuua watu Mariupol. Wamatumia muda huu kujifunza silaha mpya walizoletewa kama Msaada. Hapa ni leo wakifanya Mazoezi Mkoani Mariupol.
 
Czech imetoa msaada kwa Ukraine wa Vifaru aina ya 2S1 "Gvozdika" 122mm self-propelled howitzers. Hivi vinaenda moja kwa moja Frontline sababu Ukraine imekuwa ikivitumia tangu vita ianze.
 
Ukraine imeteketeza Convoy yote ya Urusi, Magari yote na Vifaru yameteketea, tumeambua Silaha tu. Zitatusaidia mbele ya sagari
Your browser is not able to display this video.
 
Hii sio ndege bali ni cruise missile "X-101" mkoani Odessa
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wanazidi kuvuna Vifaru vya Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Leo imeniuma sana kuona Mji wa Odessa unashambuliwa. Ni Mji mmoja umetulia sana. Ni mji ambao watu wa Ukraine wanauita mama. Odessa Mama. Ni Moyo wa Ukraine. Urusi wana Wivu sana. Watu wa Odessa walokole wa watu. Mungu atatupigania. Walileta meli ikazamishwa, hata haya Makombora yatashindwa. Mungu Ibariki Odessa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…