figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #13,641
Watakuwa wanajiandaa kwa mission ya kuchukua mji mwingine.Wagners wanaondoka Bakhmut na kuwaachia Urusi waisimamie. Hadi tarehe 1 Juni wote watakuwa wameondoka Bakhmut. Sijui wanaenda wapi
View attachment 2634949
Wanaenda kuongeza Nguvu Avdiivka. Wanaamini wataichukua Avdiivka.Wagners wanaondoka Bakhmut na kuwaachia Urusi waisimamie. Hadi tarehe 1 Juni wote watakuwa wameondoka Bakhmut. Sijui wanaenda wapi
View attachment 2634949
Tulisahau taarifa nzuri kama hizi kuzisikia. Inatia moyo.Ukraine wanekomboa mji wa Volokhiv Yar, Mkoani Kharkiv
View attachment 2635849
Hawana hamu kwa kisago walichokutana nacho hapo Bakhmut. Wanakwenda ku-reorientate.Watakuwa wanajiandaa kwa mission ya kuchukua mji mwingine.
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa ni black see na huu mzigo unaingia Ukraine.
View attachment 2633766
Slava Ukraine [emoji1255]Kwenye hili pambano Bakhmut, Urusi wamepoteza wanajeshi 80 huku Ukraine ikipoteza wawili tu. Angalia
View attachment 2633770
Slava Ukraine [emoji1255]Prigozhin kasema zaidi ya Wagners 20,000 wameuawa mjini Bakhmut.
View attachment 2633777