Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Belgorod. Urusi ilipelekewa moto balaa
IMG_20230524_231403_248.jpg
 
Wagners wanaondoka Bakhmut na kuwaachia Urusi waisimamie. Hadi tarehe 1 Juni wote watakuwa wameondoka Bakhmut. Sijui wanaenda wapi
View attachment 2634949
Wanaenda kuongeza Nguvu Avdiivka. Wanaamini wataichukua Avdiivka.
Prigozhin anajua Bakhmut itarudi muda si mrefu. Kuondoka kwao wanataka Legacy yao iendelee kuwepo na baadae waje waseme kuwa Wagner wasingeondoka Ukraine wasingeweza kuichukua.
 
Back
Top Bottom