Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Wameliwa vichwa muda si mrefu
Manesi na madaktari wa Ukriane walio Frontline wakitoa huduma usiku na mchana bila kukata tamaa lengo ni kuhakikisha Hakuna Mpambanaji wa Ukriane anayepoteza maisha. Nchi ya Amani Urusi kageuza uwanja wa Vita
Urusi wanakamatwa kama kuku wa kisasa
Warusi wanajuta kuivamia Ukraine. Walijua wataiteka ndani ya siku 3🤣🤣🤣
Sniper wa Ukraine akifanya yake
Ukraine walivyo teka handaki la Warusi. Vumbi limetimuka
Frontline ya Ukriane wakisonga mbele huko Mashariki
Mwa Ukraine
Ukriane wakisafisha Msitu kwa msaada wa BTR-4 kikiwapa cover
Vijana wa Ukraine wana stamina balaa. Bakhmut
Urusi wanajuta kuvamia Ukraine