Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Manesi na madaktari wa Ukriane walio Frontline wakitoa huduma usiku na mchana bila kukata tamaa lengo ni kuhakikisha Hakuna Mpambanaji wa Ukriane anayepoteza maisha. Nchi ya Amani Urusi kageuza uwanja wa Vita
 
Back
Top Bottom