figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,361
Mkuu, umetisha sana. Au na wewe Sniper? Hahahaa
Well saidMajeshi ya Africa yajifunze kutumia drone Vitani. Vita ya sasa hivi sio kupasua tofali kwa kichwa wala kupigana Fimbo hadi ivunjike. Hii drone ya Ukraine ikiwachakaza Urusi. Hapa hata ubebe gogo kubwa gani halisaidii.
View attachment 2199331
Hivi putin kujifanya anaweza pambana na NATO yenye nchi 30 angeweza?Huwa najaribu kuwaza kama Ukraine asingekua anapata misaada mbalimbali ya silaha na majeshi wangekua katika hali gani hadi sasa[emoji848]