Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Uwasi ni hatare kwa putin. Na jeshi likigawanyika nguvu ukata
 
Wakuu, leo sipo poa kabisa. Mwenzetu Danylo Safonov, aliyekuwa anatutumia picha kutoka Frontline upande wa Mariupol leo wamemua yeye na wenzake wawili. Washambuliwa na ndege ya Kivita. Apumzike kwa amani. Tatizo hata ukimwambia ajisalimishe alikua hakubali. Amefia anacho kiamini. Pumzika kwa amani Dan😭😭😭Wakuu, Vita si kitu kizuri.

Pacha zake za Mwisho
20220503_170843.jpg
20220503_171500.jpg
20220503_171508.jpg
20220503_171513.jpg
20220503_171522.jpg
20220503_171548.jpg
 
Zikiwekwa za Ukraine zikichakazwa utalia!
Ziweke kwenye uzi wenu. Huu Uzi kama umeingia kwa bahati mbaya, unatuhusu sisi tunaounga mkono Ukraine. Hapa ndo tunapigia story. Kama unazo za Urusi wakiwachakaza Ukraine, weka kwenye uzi wenu, haujakatazwa. Hii ni Special kwa Ukriane tena walio Frontline.
 
imeisha hiyo
 
Wakuu, leo sipo poa kabisa. Mwenzetu Danylo Safonov, aliyekuwa anatutumia picha kutoka Frontline upande wa Mariupol leo wamemua yeye na wenzake wawili. Washambuliwa na ndege ya Kivita. Apumzike kwa amani. Tatizo hata ukimwambia ajisalimishe alikua hakubali. Amefia anacho kiamini. Pumzika kwa amani Dan😭😭😭Wakuu, Vita si kitu kizuri.

Pacha zake za Mwisho
View attachment 2210016View attachment 2210017View attachment 2210018View attachment 2210019View attachment 2210020View attachment 2210021
Ni Shujaa . RIP Dan
 
Wakuu, kazi imeisha. Rais wa Urusi Putin ni kwamba kajificha baada ya kundi la LEGION kuundwa. LEGION wana machaguo matatu, 1 wanapanga Kumpindua, 2 wanataka Augue, 3 Wanataka afe. Mchongo umekamilika. Fuatilieni stori za Russian security service FSB. Wanampiga kwa kuingiza nchi yao kwenye mgogoro na Kudidimiza uchumi wa Urusi. Ni swala la Muda
20220504_101609.jpg
 
Wakuu, leo sipo poa kabisa. Mwenzetu Danylo Safonov, aliyekuwa anatutumia picha kutoka Frontline upande wa Mariupol leo wamemua yeye na wenzake wawili. Washambuliwa na ndege ya Kivita. Apumzike kwa amani. Tatizo hata ukimwambia ajisalimishe alikua hakubali. Amefia anacho kiamini. Pumzika kwa amani Dan[emoji24][emoji24][emoji24]Wakuu, Vita si kitu kizuri.

Pacha zake za Mwisho
View attachment 2210016View attachment 2210017View attachment 2210018View attachment 2210019View attachment 2210020View attachment 2210021
Pumzika kwa amani kamanda DAN
 
Wakuu, leo sipo poa kabisa. Mwenzetu Danylo Safonov, aliyekuwa anatutumia picha kutoka Frontline upande wa Mariupol leo wamemua yeye na wenzake wawili. Washambuliwa na ndege ya Kivita. Apumzike kwa amani. Tatizo hata ukimwambia ajisalimishe alikua hakubali. Amefia anacho kiamini. Pumzika kwa amani Dan😭😭😭Wakuu, Vita si kitu kizuri.

Pacha zake za Mwisho
View attachment 2210016View attachment 2210017View attachment 2210018View attachment 2210019View attachment 2210020View attachment 2210021
Dah it is so sad, R.I.P Dan
 
Back
Top Bottom