Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

A30B (Azov) bado wanapambana. Sema Urusi hawataki kusema yanayo wakuta
 
Kuna watu wanadhani Azov ni wanyonge. Wapo imara
 
Azov mwenyewe
 
BMP-21
20220502_195602.jpg
20220502_195559.jpg
 
Hapa ni Mariupol, na huyu ni Azov. Kuna watu wanajua Azov wapo kwenye handaki muda wote🤣🤣
 
Kikosi cha Intelejensia cha Urusi kimemakatwa. Kwa ninavyowajua Azov, sidhani kama wataendelea kuwa na Uhai. Azov wanasema hawana Magereza, hawana chakula, so hawana cha kuwafanya mateka zaidi ya kuwaua sababu hawana sehemu ya kuwashikilia mateka. So ukikamatwa na Azov, muombe Mungu wako sala za Mwisho
20220503_123845.jpg
20220503_123849.jpg
20220503_123852.jpg
20220503_123854.jpg
 
Hatimaye leo, Jeshi la Urusi linalompiga Putin, wamepata Sare zenye nembo yao. Wanaiunga Mkono Ukraine. Wamefanikiwa kupata Wadhamini wa kuwapa Silaha na vifaa vya Teknolojia. Watapamba na Urusi Sambamba na Ukraine. Hadi sasa ni kazi kubwa wanaifanya Urusi kila mtu anaona. Hili jeshi lililomeguka Urusi, linajiita LEGION
IMG_20220503_131702_753.jpg
IMG_20220503_131705_871.jpg
IMG_20220503_131708_124.jpg
IMG_20220503_131711_606.jpg
IMG_20220503_131713_685.jpg
IMG_20220503_131716_907.jpg
IMG_20220503_131719_349.jpg
IMG_20220503_131722_414.jpg
IMG_20220503_131725_297.jpg
 
Uwasi ni hatare kwa putin. Na jeshi likigawanyika nguvu ukata
 
Back
Top Bottom