Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Legion walivyoongea na Waandishi wa habari. Nadhani wakipata uungwaji mkono na Wanajeshi wengine wa Urusi, Putin ana siku chache za kuishi
 
Kharkiv Urusi wamekanyagwa
 
Jana Izyum kuna Viongovi wa Juu jeshi la Urusi wameuawa. Inadaiwa ni kati ya watu 20. Gerasimov kajeruhiwa.
20220502_125526.jpg
20220502_125532.jpg
 
Mkoani Donetsk Ukraine, kuna wavamizi wamekufa bila kutarajia. Tumewaita Urusi waje watambue watu wao hawaji. Kuna mmoja alikua hajakata roho akasema wanatokea Siberia Urusi. Kama kuna ndugu wako wa Siberia kapotelea Ukraine, hakiki hapa.
20220502_162944.jpg
20220502_162941.jpg
20220502_162938.jpg
20220502_162935.jpg
 
Huu Mzigo umetoka Marekani. Hapa Upo Ukraine fully equipped. Haya Magari ni aina ya Hummers
 
🤣🤣🤣🤣Napenda sana Drone inavyo fanya kazi bila kukosea.
 
Perm
 
Usiombe ukamatwe na Azov. Sijue watafanywa nini
 
Baadhi ya Wnanchi wa Mariupol wamechukuliwa na Msalaba mwekundu. Wanawake, wazee na watoto.
 
Angalia Azov wanavyo wakimbiza Urusi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom