figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,521
Habari njema, jeshi la Urusi limeanza kugawanyika. Kuna wanajeshi wanasema Putin anawagombanisha hivyo atoke madarakani. Naamini hawa ndo watamuua Putin. Putin alionywa mapema aachane na hii Vita. Sasa ona NATO washapenya hadi kwake. Hawa wanataka kumuondoa Putin madarakani.
Alama yao ya Vita ni 'L", na Bendera yao ni Blue na Nyeupe. Jina wanalotumia ni LIGION (THE FREEDOM OF RUSSIAN LIGION) Kila siku Wanajeshi wa Urusi wanajiunga na Ligeon. Wamesema Vita ya kumuondoa Putin inaanzia Donbas. Ukraine bado wana wasiwasi nao, hawataki kiwachanganya na Jeshi lao, ila wamewapa majukumu na wakawaonesha waanzie wapi kupambana. Silaha watapewa. Wakipigana kama Wiki mbili kwa mafanikio, tunaweza waamin na kushirikiana nao. Watuoneshe wameua nani kwanza