Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Uwasi ni hatare kwa putin. Na jeshi likigawanyika nguvu ukata
 
Wakuu, leo sipo poa kabisa. Mwenzetu Danylo Safonov, aliyekuwa anatutumia picha kutoka Frontline upande wa Mariupol leo wamemua yeye na wenzake wawili. Washambuliwa na ndege ya Kivita. Apumzike kwa amani. Tatizo hata ukimwambia ajisalimishe alikua hakubali. Amefia anacho kiamini. Pumzika kwa amani Dan😭😭😭Wakuu, Vita si kitu kizuri.

Pacha zake za Mwisho
 
Zikiwekwa za Ukraine zikichakazwa utalia!
Ziweke kwenye uzi wenu. Huu Uzi kama umeingia kwa bahati mbaya, unatuhusu sisi tunaounga mkono Ukraine. Hapa ndo tunapigia story. Kama unazo za Urusi wakiwachakaza Ukraine, weka kwenye uzi wenu, haujakatazwa. Hii ni Special kwa Ukriane tena walio Frontline.
 
imeisha hiyo
 
Ni Shujaa . RIP Dan
 
Wakuu, kazi imeisha. Rais wa Urusi Putin ni kwamba kajificha baada ya kundi la LEGION kuundwa. LEGION wana machaguo matatu, 1 wanapanga Kumpindua, 2 wanataka Augue, 3 Wanataka afe. Mchongo umekamilika. Fuatilieni stori za Russian security service FSB. Wanampiga kwa kuingiza nchi yao kwenye mgogoro na Kudidimiza uchumi wa Urusi. Ni swala la Muda
 
Pumzika kwa amani kamanda DAN
 
Dah it is so sad, R.I.P Dan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…