Hivi vifaru aina ya T-80U na T-80BV, Vilikuwa vya Urusi, baada ya kuviteka, sasa Ukraine inavitumia kuua waliokuja navyo. Hapa ni Mkoani Kharkiv Ukraine
Rais wa Belarus Lukashenka, amekana kuhusika kwenye Vita ya Ukraine. anadai urusi ilidai ni Operation, lakini Operation imeshindwa sababu imechukua muda mrefu. Ni baada ya kutishiwa kuwekewa Vikwazo
Hii ni Air Force helkopta ya Urusi aina ya Mi-24V/P, ilidondoshwa ikaanguka ndani ya maji mto Dnipro Mkoani Kyiv. Sasa tumeitoa kwenye Maji. Ndege kama hizi kuna vifaa vinachukuliwa ili kusaidia Uwanja wa Vita pia kuangalia zinatumia Teknolojia gani. Ndo maana tumeitoa majini tuisome.
Angalia hapailivyo dondoshwa
Wakuu, kuna kikosi cha Makonda wa Ukraine kinaitwa KRAKEN special unit. Moto wa kuotea mbali.. angalia Magari, Silaha na Boot wanazo vaa. Ni muunganiko wa Makomandoo kutoka sehemu mnalimbali. Siku nyingi sijawapa picha za Sniper wetu. Kifo cha Sniper Dan, Kimenitoa kwenye reli.. Sitakuwa na Speed ya kupost.
Ukraine wana kikosi cha kujivunia kinaitwa The Ukrainian 53rd Mechanized Brigade. Yaani kinatumia zana zote, kuanzia Vifaru, Drone hadi Visu. Hii ni kazi yao ya Masaa matatu
Hapa 30th Mechanized Brigade walikuwa wanashambulia Vikosi vya Urisi kwa kutumia Silaha aina ya Stugna-P ATGM na Drone. Cha kujifunza. Angalia jinsi wanavyochimba mahandaki. Wanatumia drone kuangalia kama kuna mahandaki au watu waliopo karibu yao.
Angalia Wanajeshi wa urusi walivyotekwa. Wana bahati wamekamatwa na hawa wanaowavalisha kininja. Azov wanaua. Ndo maana hadi sasa hujasikia Azov wana Mateka. Ndo Maana Urusi ina Hasira na Mariupol. Walishasema Mrusi atakayekamatwa Mariupol asali sala ya Mwisho. Hawana Magereza wala chakula cha kuwapa mateka wa Kivita.
Angalia Kifaru cha Urusi kilivyo nyanyuliwa na bomu la Ardhini la Ukraine. Walikuwa wanarekodi picha ya kupost propaganda zao. Wanajeshi walitega bomu wakakaa pembeni kuangalia mrusi anavyo kufa
Urusi baada ya kudai hakuna Majenerali wanaokufa, wakapewa picha. Wameambiwa waoneshe na wao picha zao wakiwa hai au wawarekodi wakikanusha kwamba wapo hai. Wiki ya pili sasa hamna hata mmoja aliyeonekana. Tulipost picha wakizikwa na kuangwa makanisani pia. Urusi hawapendi ukweli. Urusi hawajawahi Kushinda Vita yoyote. Hata hii watashindwa