Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Izyum hapa. Vifaru vya Urusi vimeteketezwa
Your browser is not able to display this video.
 
Izyum: Wanajeshi wa Urusi baada ya kuzidiwa, wamekimbia wakaacha kifaru na vitu walivtoiba madukani
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Kherkyiv: Majeshi ya Urusi baada ya kuzidiwa, yameamua kurudi nyuma kujipanga upya
Your browser is not able to display this video.
 
URUSI: Kuna moto mkubwa unawaka 120 km kutoka mpakani kwa Ukraine upande wa Sumy.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkoani Belgorod nchini Urusi kama inavyoonekana
Your browser is not able to display this video.
 
Askari wa Ukraine walivyoteka Vifaru vya Urusi Mkoani Izyum
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Kherkyiv: Majeshi ya Urusi baada ya kuzidiwa, yameamua kurudi nyuma kujipanga upya
View attachment 2214819
Duuuh inabid ukrain wasiruhusu tena warusi kurudi eneo wanaloondoka .....sipati picha eti adui anapita anavyotaka kwenye barabara za nchi yangu namuangalia tu anaingia na kutoka anavyotaka daaah yaa ata kama ni mawe napiga hilo gari
 
Angalia jeshi la pili la dunia la Urusi walivyokuja kuiba Ukraine. Wanaiba televisheni, mashine za kufulia, baiskeli, simu, laptops. Lakini kuna kitu hakipo sawa. Mwanajeshi kuiba
View attachment 2212921
Jeshi la Urusi huwa halithamini wanajeshi wao wakiwa vitani ni kawaida sana kutokuwapatia mahitaji muhimu kama vile vyakula, maji na dawa. Ikitokea wamezingirwa wanawaacha wajifie tu.

Hata kipindi cha WW2 walikuwa hivyo hivyo waliua wanajeshi wengi sana kwa uzembe wa kijinga. Walivyofika kwenye nchi ya Ujerumani waliiba hadi nguo, viatu na vyombo vya ndani.Mjerumani alikuwa hawezi kula vyakula vya Soviet Union, wao ndio walikuwa wanavitafuta kwa udi na uvumba.

Ninadhani hawana discipline au mafunzo yao yana walakini.Kwa ubakaji wako vizuri. Hata hapo Ukraine wameshapaka wanawake wengi tu.
 
wakuu, update yeyote mariupol!?.
Unataka Update?

Leo Azov wataongea na Wanahabari kutokea Mariupol. Wataongea kwa zoom. Hivyo Wasikilize wakupe Update. Link hii hapa


Kama Urusi wakizingua, muda unaweza badilika. Viongozi wote wa Azov Wataongea. Usalama ukiwa mdogo, itarushwa Video ya Maongezi. Ila kwa sasa uwezekano wa kuongea upo Mkubwa. Wanaongea katikati ya Uwanja wa Vita hivyo, muda ukisogezwa usiogope.
 
Kiongozi wa Marine Serhii Volyna. Amesema wamefanya wawezalo kuwaondoa raia Mariupol. Wamepunguziwa mzigo kwani walikuwa na kazi ya kujilinda na kuwalinda watu zaidi ya 300.
 
Kifaru cha Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa ni Azov wakiwa mapumzigo kwenye handaki wakibadilishana mawazo.
Your browser is not able to display this video.
 
sawa mkuu nashukuru.
 
Duuh yaani hawa jamaa kama vile hawana vita mbele yao
Sema huyo bonge kafa jana. Ndo aliyewatoa raia kwenye handaki. Wakati anarudi Urusi wamapiga risasi yeye na wenzake. Wakafa wawili, 6 wakajeruhiwa. Ila wao ndo walikuwa wanawaongoza raia sababu raia hawajui njia za Azovstal. Baada ya kuhakikisha wamepanda basi, wakarudi kwenye mgodi wao. Wakati wanarudi wakaviziwa. Warusi wamekufa 5. Azov ni makomando, hawakuachi salama
 
Duuuh R.I.P vipi wakitolewa wanapelekwa upande upi wa warusi au ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…