Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Ukriane wakiwa na bunduki aina ya AK-74s wakati wa mapambano. Hawa wapo Frontline. Walikuwa kwenye kijiji cha moshchun
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Ukraine wakiwamiminia Multiple anti-tank missiles wanajeshi wa Urusi waliojaribu kuingia Mariupol. 16.3.2022. Wote walidakwa
Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana. Jitahidi kusoma title na post ya kwanza. Watanzania kwamba ukutaka kuwaficha weka ujumbe kwenye Maandishi. Ndo hii sasa.
Mkuu ulichoonesha ni picha za vifaru, ndege vya Urusi? Swali je vifaru, ndege na makari ya ukraine hayaharibiwi?
 
Angalia live askari wa Ukraine alivyopamba na Warusi Mkoani Kyiv. Sema kwa mbahati mbaya alipigwa na risasi kwenye kidole. Alikuwa anawaita njoo kama wanaume, lakini Warusi waliogopa kumsogelea.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu ulichoonesha ni picha za vifaru, ndege vya Urusi? Swali je vifaru, ndege na makari ya ukraine hayaharibiwi?
Mimi nimesema toka mwanzo 1#post. Naonesha na kuongelea mafanikio ya Ukraine. Kuna uzi wanaongelea mafanikio ya Urusi, kaangalie.

Nia ni kutaka kutoa udanganyifu wa watu kwamba Askari wa Urusi hawauawi wala vifaa vyao vya kivita kutekwa. Sina mpango wa kuiongelea Urusi. Nipo Dedicated kuiongelea Ukraine tu. Sababu naamini Urusi wanaweza kuipiga Ukraine lakini hawawezi kuishinda. Putin alisema ndani ya siku 3 tutaikamata Kyiv, nawapa muda wa masaa 12 Ukraine wajisalimishe na Askari wa Ukraine warudi nyumbani vinginevyo watakiona cha moto. Na Nchi itakayoingilia nitaiteketeza. Je, siku tatu hazijaisha? Hakuna nchi imeingilia. Putin anawatia hasara ya kuongeza Yatima na Wajane Urusi. Hii vita kataka kuonesha umwamba lakini haina sababu. Tunaendelea kuwachinja Urusi bila Huruma. Welcome to Ukraine
 
Hii Missiles ilidondoshwa maeneo ya Vinnytsia Oblast na kikosi cha anga cha Ukraine
 
Sasa kama Choko zimeletwa na Marekan Kwa nni putin asi pigane na Marekan?
 
Drone ya Ukraine ikiwaonesha Wanajeshi wa Urusi wakiwa wamejificha kwenye handaki. Je unajua kilichowapata? Sihitaji kuonesha picha mbaya hata hivyo
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Urusi walivyo pigwa Ambushi. Utaipenda
Your browser is not able to display this video.
 
Hii inaitwa Tochka-U Tactical Ballistic Missile launch ya Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Hii convoy ya Urusi, iliharibiwa Mashariki mwa Ukraine. Urusi walipoteza sana hadi wakarudi nyuma
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wakiwa wanawindwa. Hawa ni Askari wa kujitolea waliokuja kuisaidia Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…