figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #141
Mapumziko kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulichoonesha ni picha za vifaru, ndege vya Urusi? Swali je vifaru, ndege na makari ya ukraine hayaharibiwi?Pole sana. Jitahidi kusoma title na post ya kwanza. Watanzania kwamba ukutaka kuwaficha weka ujumbe kwenye Maandishi. Ndo hii sasa.
Mimi nimesema toka mwanzo 1#post. Naonesha na kuongelea mafanikio ya Ukraine. Kuna uzi wanaongelea mafanikio ya Urusi, kaangalie.Mkuu ulichoonesha ni picha za vifaru, ndege vya Urusi? Swali je vifaru, ndege na makari ya ukraine hayaharibiwi?
Sasa kama Choko zimeletwa na Marekan Kwa nni putin asi pigane na Marekan?Aisee we jamaa kweli ni hayawani.
Siwezi kuwa na mahaba kiasi hiki kwa kweli kwa hao watu weupe be it US au Russia na their allies. Hii vita ukweli usemwe chokochoko zote zimeletwa na wamarekani. Hayo ya kuchakazana wacha wauwane. Huwa tunasema waafrika ni wanafiki blah blah kibao...lakini ukweli wazungu ni wanafiki wa kipekee na washenzi. Nashangaa kwanini hoja za Urusi kwenye hili sakata zinafungiwa macho.
Inawezekana Urusi alii underestimate Ukraine, lakini vita lazima iwe ngumu kwa Urusi, hao si waarabu ni wazungu kwa wazungu na zaidi anasaidiwa na NATO kwa mgongo wa nyuma. Si sawa na vita ya Marekani dhidi ya Iraq/Afghanistan. Na civilian wakishakua upande wa serikali vita lazima iwe ngumu.