figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,781
Mhh! Kwa kweli Broo, Sikio la KUFA halisikii dawa. πVita ya Drone ni hatari sana. angalia hii jinsi warusi wanatafutana
View attachment 2221397
Hata Kama hawataki kukupongeza, Bwashee inabidi Ujipongeze Mweenyeweeπ€£Angalia Furaha ya Ukraine baada ya Kushinda
View attachment 2221418
Vp.Bro. Hapo hizo 3pics ndo Mazikoni au jamaa wameenda kuogelea beach??π€£π€£Angalia Urusi walivyo poteza Bilogorivka Mkoani Luhansk
View attachment 2221421View attachment 2221422View attachment 2221423
Hapo kwenye mto Waliwekewa Mtego. Urusi walipoanza kutengeneza daraja waliachwa wamalize. Siku wanaleta Vifaru kuvuka ndo wakalipua daraja na Vafaa vyote vya Urusi.Vp.Bro. Hapo hizo 3pics ndo Mazikoni au jamaa wameenda kuogelea beach??π€£π€£
Work done and Well done fully. Kwa Hii vita Mrusi atajifunza mengi sana. π€£ π€£ πββοΈHapo kwenye mto Waliwekewa Mtego. Urusi walipoanza kutengeneza daraja waliachwa wamalize. Siku wanaleta Vifaru kuvuka ndo wakalipua daraja na Vafaa vyote vya Urusi.
Khe! Aisee !! Icho kijamaa kinakunyaje moto! Ni balaa....πββοΈπββοΈπHii ndo inaitwa Brimstone missiles
View attachment 2221995