Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mruko wa chini chini; Helkopta za kushambukia za Ukraine aina ya Mi-24P zikiwarushia Warusi Makombira aina ya S-8 Mkoani Donbas jana

Kikosi cha anga cha Ukraine kimefanya nashambulizi ya anga mara kwa mara hivi karibuni. Achana na wanaosema eti mfumo wa anga uneharibiwa. Kumbuka sisi tunajilinda, hivyo nguvu tumewekeza kumpiga na kuharibu ndege za Adui
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe wakati Warusi wanavuka mto Donets, baada ya kuona Vifaru vyao vibashambuliwa na nusu vinawaka moto. Wakakimbilia Msituni kujificha. Mkuu wa Kikosi cha 17th Tank Brigade kilichoweka mtego wa kuwanasa Warusi, akatoa amri Msitu wote upigwe moto pande zote.🤣🤣🤣 Warusi wakatoka wenyewe Msituni wakachukuliwa kama PoW kitu ambacho Azov hawawezi fanya. Azov hawateki bali wanaua hata ujisalimishe
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi walijitahidi kurusha risasi wakati wa kuvuka mto Donets lakini wapi. Mtego uliwanasa. Hata wanao washambulia hawakuwa hapo. Wanapiga risasi ovyo
Your browser is not able to display this video.
 
Hi
HiVi mkuu hii silaha inalenga vipi target? Wanaset kwanza target au automatic?
Hii ni digital fire control system. Inafanya navigation yenyewe hapo hapo, Wewe unaamua ipige wapi. Na inapiga shabaha umbali hata wa km 21. Inatumia GPS. Uzuri ni kwamba Marekani wamereta mpya kabisa ili kuona ufanisi wake sehemu zenye baridi. Kanada wametoa M777 Howitzers nne huku Marekani ikitoa M777 Howitzers 90. Zimeonesha Ufanisi Kharkiv
 
nimesoma mahali izyum mambo sio mambo warusi mbioni kuukacha huo mji
 
nimesoma mahali izyum mambo sio mambo warusi mbioni kuukacha huo mji
Plan ilikuwa hadi jumatatu tuwe ndani ya Izyum. Ndo njia kuu, Tukiiteka sehemu nyingine Mterelezo tu sababu Warusi hawatapata sehemu ya kupitisha Vifaru, Vyakula na Risasi. Labda watumie ndege. Yaani Izyum ni kama Wami kwa watu wanaotoka Kilimanjaro kuja Dar. Hapo kwenye Point ndipo Izyum ilipo
 
nimesoma mahali izyum mambo sio mambo warusi mbioni kuukacha huo mji
Kutoka hapo uliposoma ambapo kuna mapigano hadi Mariupol kwa Akina Azov, kwa gari ni Masaa matano tu km 346, So njia ikifunguka, Wiki moja tutakuwa tunapigana Viunga vya Mariupol. Sema Uturuki wanajiandaa kwenda kuwasaidia Azov kutokea baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…