Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Donbas
20220419_100856.jpg
 
Bado wanapambana ndani ya Mariupol
 
Angalia Urusi walichofanyiwa Kherkyiv. Hii ni drone ya Ukraine.
 
Angalia simu ilivyookoa maisha ya Askari wetu. Alikuwa afe. Mungu Mkubwa. Hawa Wavamizi watatutoa roho
 
Azov akiharibu gari la Urusi maeneo ya Mariupol
 
Jamaa kutumia Tundu la Nyumba iliyobomoka kuharibu kifaru cha Urusi aina ya BMP-2. Kifaru kwa kifaru
 
Uwindaji wa Vifaru vya Urusi vinavyoenda Donbas umeanza. Nawatakia kazi njema Ukraine Army na Mashujaa wote wa Ukraine.
20220419_191336.jpg
 
Sniper wetu Malcolm Nance, yupo tayari kwenda Donbas. Mtu mwenye hela zake. Mungu amsaidie..
 
Back
Top Bottom